Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Asante umeeleza si kwa kirefu sanaa,but imebeba maana yoote na msaada wa mwanadamu anaoweza kuupata kupitia kwa KRISTO YESU. So ni uamuzi wa mtu kuchagua kumwamini YESU ili asalimike na mkakati huu ovu wa ibilisi au kuendelea kuanguka katika mtego wa ibilisi na kunasaw'

Kwan yesu n nan Mkuu?
 
Mmmmh duniani kuna siri nyingi sana jaman.
Hebu
mkuu mengi uliyoyasema ni kweli ila tu kwa kuongezea ni kuwa Rockafeller family kama unavyosema ni moja ya familia iliyotajirika kwa uwekezaji wa Rothchilds family kwa US. kipindi John D. Rockafeller anatajirika mikopo ya biashara zake alipata kutoka katika mabenki ya Rothchilds family ( Citi Bank, JP Morgan) hayo ndio yaliyoprovide mitaji katika biashara za Rockafeller.

.
Rockefellers wametajirika kutokana na mafuta, please google 'the men who made america' uone jinsi wao na wengine walivyokuwa wakiitikisa america kwa utajiri wao, na hasa babu yao (John D Rockefeller), Carnegie na J. P. Morgan.

utajiri wa huyo babu john d ulianza alipowapiga mkwara wenzake kwa kuanzisha Standard Oil
 
Where do you draw the line of a historical figure? Does this include Mansa Musa and King Solomon?

Mkuu Kiranga,Manka Musa na King Solomon ni takataka tu,no one can prove walikua matajiri in a sense...zamani hizo watu walikua peku,akivaa sandles inaonekana tajiri ajabu,hakuna ushahidi wa kisayansi au wa kiuchimbuzi(archeology) kwamba mfalme Suleiman alikua ameadvance na kua na wealth kiasi hicho,ni uwongo wa hivi vitabu

I doubt,Mansa Musa na King Solomon walikaa kwenye nyumba za mawe,poorly made,very low technology for today's standards,..madini?alichimba kwa kutumia machines zipi in those days?Tuseme waliokota tu on surface,basi value yake itakua ndogo sana hata kama ni gold...i doubt hayo madini yalikua impure and very raw,methods z extractions hazikuwepo in those days,very poor tech kipindi hicho..

Utajiri wa hawa watu ni myth tu,ambapo hata tukiproject in today's value bado hawatakua na effect kiivyo,effect ya King Solomon kwa dunia ni ndogo mno ukifananisha na mtu kama Bill Gates alivyo change dunia upside down,no way King Solomon wealth ikawa nearly or effective changing the world like Gates's
 
nasubiri kutukanwa kwa nitakalosema hapa lakini nitasema tu.wamejenga makanisa mengi sana.wamejenga seminari nyingi sana U.S wamejenga universities nyingi sana U.S.Wana taasisi nyingi zinazomilikiwa na taasisi nyingine zinazomilikiwa na nyingine..its a chain of organizations!wameiweka dini mikononi mwao ili kucontrol mafundisho yake yaendane na falsafa wanazotaka wao.hawa ndio Rockfellers,mojawapo ya familia 13 zinazounda supreme council ya illuminati inayotawala dunia yetu leo.familia nyingine ni Rothschild,Bundy,Kennedy,Russell,Astor,Collins,Du Pont,Freeman,Li,Onassis,Reynolds na Van Duyn.pia kuna watu huwa hawaorodheshwi hapa kutokana na structure ya network yao ilivyo lakini wako karibu sana na council of 13.hawa watu ni koo za kifalme za ulaya(U.K,HOLLAND,SPAIN ETC).jambo ambalo watu wengi hawajui ni kuwa koo hizi za kifalme za ulaya zote zina mahusiano ya damu na pia zina mahusiano ya damu na hizo familia hapo juu.baada ya council of 13,kuna council of 33 na baada ya council of 33 kuna council of 300.hizi council nyingine ni za watu wa kawaida matajiri akina Agnelli,Morgans,Carnegie,Warbug etc.sikumbuki kumuona Gates kwenye list hizi.hii council of 300
ndio ina-interact na akina sie na serikali zetu kupitia organizations mbalimbali zikiwemo za intellijensia,Kijamii,kidini na kisiasa kama U.N,AU,C.I.A,MOSSAD,KGB,M16,YMCA,LUCIS TRUST,BENKI,HOSPITALI,VIWANDA,SERIKALI ETC!nisingehangaishwa na uwepo wa watu hawa kama ishu ingekuwa wanataka madaraka na fedha tu!no,they want power!power in every sense!nguvu yote hata nguvu inayokufanya wewe na mie tupumue.kwa nini?asili yao inaeleza sababu.karibu hizo familia zote 13 zinatokana na asili ya binadamu wasio wa kawaida.hili ndilo giza nene lililoifunika dunia.tunadhani wote tuko sawa.no,nenda Misri eneo linaitwa Giza,katazame pyramids na miji ya zamani,nenda Mexico,katazame pyramids za kule(kuna hekalu moja kule limejengwa kwa pyramids nyingi zilizounganishwa kwa barabara na underground tunnels ambapo ukizichora tunnels hizo jinsi zinavyounganisha ramani ya hekalu hilo kwa ujumla ukatazama kwa juu yaani aerial view iko exactly mchoro wa microchip ya computer!).huko utakuta miji na mahekalu vilivyojengwa kwa very advanced technology ambayo leo tunastruggle kujifunza taratibu.ni nani aliyejenga na kuwapa watu hao wa zamani sayansi kubwa hivyo?nimegusia hayo kuonyesha kuwa hata katika dunia ya leo upo ushahidi wa kutosha kuprove jambo hili zito lisilosemwa sana,kwamba huko nyuma kuna tukio kubwa sana lilitokea na hadi leo athari zake zinatawala maisha yetu.tukio hilo ni interaction kati ya binadamu na viumbe fulani wengine wa Mwenyezi Mungu(huwa tunawaita tu malaika hii inatupa upofu sana)walikuwa 200 wakiongozwa na mkuu wao Azazel waliposhuka ktk kilele cha mlima Hermon na kuigiza maumbile ya kibinadamu.kilichowaleta ni kutamani binadamu.walitaka kukaa nao,wawatawale,wazae nao,waanzishe empire yao tofauti na utaratibu waliopangiwa na Mungu.wakafanya hivyo.ikazaliwa offspring ya ajabu,majitu makubwa yenye nguvu za kutisha na akili za ajabu na roho za ajabu maana nusu binadamu nusu malaika.waliitwa nephilims,leo tunawaita titans(usifikiri hadithi ya kigiriki hii)!kutokana na hiyo offspring kuwa imbalance,ilileta vurugu kubwa duniani,na kama Mungu asingeingilia kati mbegu ya binadamu pure ingetoweka.hao malaika pamoja na hayo matoto yao ndio walifundisha binadamu mambo meengi ambayo leo yana sehemu kubwa ktk sayansi,elimu na tamaduni zetu hasa mashariki ya mbali,India na america.base yao kuu ilikuwa bara la Atlantis lililokuwepo katikati ya america na ulaya.kitendo hiki kilimchukiza Mungu mno akaamua kutuma gharika ya maji na kuteketeza dunia nzima pamoja na bara la Atlantis isipokuwa binadamu mmoja anaitwa Nuhu na watoto wake na baadhi ya wanyama ambao hawakuchafuliwa(nephilims walizaana hata na mijusi,kilichotoka hapo ni balaa).LAKINI kuna laana alitamka Mungu,kwamba roho za viumbe hao hataziangamiza,ataziacha na zitakuwa chanzo cha kila uovu duniani kwa umri wote wa dunia hadi mwisho ili viumbe wake wote wapate darasa how serious was this mistake!roho hizo ndizo zilimuongoza Nimrod kuijenga Babylon na kuanzisha idol worshiping na tamaduni za Atlantis zikaanza kurudi taratibu huku spidi yake ikivurugwa na elimu ya dini ya mitume na manabii wa Mungu.ilibidi utaratibu wa kuinteract na binadamu ili kutimiza lengo lao waufanye kwa siri,taratibu,miaka na miaka,wakiibadili dunia taratibu hadi mazingira yakiruhusu,roho hizi zikiwa ndani ya miili ya kibinadamu,zitaigeuza dunia nzima kuwa kama Atlantis!ndipo hapa vyama vya siri na dini zisizoeleweka vinaposhamiri underground.hawa council of 13 ni binadamu waliotoka koo zenye asili ya damu ya nephilims walioanza kuingiliana na binadamu pale Babylon hadi leo.ndio hao akina Goliath,ndio wale titans wa Yeriko,ndio hawa leo tunawaita alliens!muhimu:the BIGGEST LIE ktk elimu yetu,ni kuaminishwa malaika hajamiiani!
Mkuu nakuomba uchambue kuhusu hawa aliens na asili yake na wanapatikana wap
 
Mtoa mada alisema kafanya uchunguz kw miaka 10 sasa mbona hapa Rockefeller n wa tatu nyuma ya Rothchild na Mansa kankan Mussa…
 

Attachments

  • 1452100156004.jpg
    1452100156004.jpg
    53.4 KB · Views: 109
Mtoa mada alisema kafanya uchunguz kw miaka 10 sasa mbona hapa Rockefeller n wa tatu nyuma ya Rothchild na Mansa kankan Mussa…
Kannada inaonekana umechimbua kiasi pia hebu tulekebishe kulingana na ulivyo chimbua huyu mansa kankani yuko vip coz wengine hatumfahamu vizuli
 
mwisho wa siku both the rockfella,rothchild and other western powerful families share the same agenda.that's to control the world and push and for a new world order.ila wakae wakijiua kuwa jamii/familia zenye nguvu za far east zinakuja kwa kasi ku-take over.
Kweli kabisa na kua documentary inaitwa WAKE UP CALL imefafanua zaidi juu ya Rockfella na NWO (new word order)
 
Nilishawahi kusoma kitabu kimoja cha vatican assassins... Kinazungumzia matajiri wakubwa duniani jinsi wanavyitumia taasisi mbalibali kuanzia kanisa la Roman na other shadow organisations...

Na vilevile nimewahi kusoma kuhusu familia 13 ndizo zinazo itawala dunia.. Miongoni mwa hizo familia ni rothschilid rockfeller jp morgan.... Nk.. Mwenye data kuhusu hizi familia afunguke
 
Ina maana huyo mansa musa ndio tuliomsoma kwenye history?mi mmenitisha kaaa ndio maana siku hizi siamini dini yoyote naamini Mungu yupo na Yesu
 
Back
Top Bottom