Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Kuna familia 13 zinazoongoza shughuli za uchumi za dunia ikiongozwa na Rothschild kutoka Bavaria nchini ujerumani. Rockeffeler pia ni moja kati ya ukoo wenye nguvu ya siasa na biashara, familia ya jp morgan,mifumo ya kifedha'!! (banking systems) Henry ford aliuza magari ya kivita mengi sana hata kwa vita ya korea , familia ya lee, pia na familia hizi zilitajirika kipindi cha vita ya kwanza na ya pili za dunia
 
Kiranga utatusumbua sana na civics yako ya form one! Wewe unajua kuhusu definition ya familia na aina zake...maswali yako haya sio mahala pake! Modes wafungue jukwaa la tution ili ukasome civics huko!!!
Mtu analeta thread ya Rockefeller family hata spelling za jina hajui.

Sasa kwa nini mimi nitake kusoma thread kama hiyo kama source makini?
 
Mtu analeta thread ya Rockefeller family hata spelling za jina hajui.

Sasa kwa nini mimi nitake kusoma thread kama hiyo kama source makini?
Hahaha...kiranga kuna jinsi ulivyo!!!
 


naona ni assumptions na equivalent

kazitoa hapa

Classify John D. Rockefeller - The wealthiest man in history

http://www.davidmeyercreations.com/mysteries-of-history/who-is-the-richest-person-of-all-time/
 
Suala la sept 11 kuna theories nyng sana. Zinaitwa consipiracy theories. Na hiyo ya kuwa wao walihusika na 9/11 ni dhana haina ushahidi.ila umeniacha hoi kuwa wao ndo wanachagua nani awe rais nani awe waziri nani awe nani....hizi nyingne ni porojo huwa sisi tulikuwa tunapiga baada ya kumaliza kusoma tukiwa vitandani mwetu bwenini miaka ya 90. NI UONGO.
 
Mkuu ninashida/tatizo la kujua jambo naomba ukiwa free nijuze.
 
ni uongo kusema wanamiliki vyuo hivi. Umeshindwa kutafsiri vizuri kutoka kwenye wikipedia. hawa wanachangia hivi vyuo na si wamiliki. kama ambavyo labda sabodo au mengi angeamua kuwa anachangia udsm .huwezi sema ni mmililiki. unaposhindwa kutafsiri uwe unaomba msaada usipotoshe au anayekupa taarifa uwe unamuuliza vizuri.

This was one instance of a long family and Rockefeller Foundation tradition of financially supporting Ivy League and other major colleges and universities over the generations—seventy-five in total. This includes:

umeng'ang'ania neno SWEET REVANGE sijui ulikuwa unamaanisha nini? maana hapo pia umekosea na hilo unalosema ni vitu sisi wasomi tunaita CONSPIRACY THEORIES. hakuna uhakika kisayansi .ni dhana za kufikirika ambazo anaybody anaweza kusambaza.

 
Jamaa anadai amefanya research wakati ka tafsiri toka wikipedia. Kweli mtu unatafsiri toka wikipedia ambayo ni moja ya source ambazo sisi wasomi hatuzitumii sana coz ni easy manipulated au can easily be edited na any tom,dick and harry. Matokeo yake hata majina na maneno mengine anakosea.

But pia habari za kusema hawa ndo wanachagua nani awe raisi,awe waziri na viongozi wengine ni uongo wa kuwadanganya form 4 failures.siyo sisi. Matokeo yake anasema this family inamilik vyuo tajwa huko juu... Wakati jamaa ni sponsors.

But kwa wasomi huwa mwishoni wanaandika source.ila jamaa ameiba na hivyo kujidai eti ni tafiti aliyofanya baada ya kuwa amewasikia muda mrefu.

Come on, anasahau humu ndani pia wapo watu wenye uelewa. Otherwise tuletee kama vile unaleta hadith za akina shigongo hapo wala hatutakuwa na tatizo nawe.
 

Nenda youtube search 9/11 in us dollar. Ndo utakapona maajabu
 

Ww mbona hujaandika source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…