Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

....huu utajiri mpaka unakera sasa,maana unaweza kumkufuru Mungu,sijaona wakijenga makanisa hata moja aaggghh...!
Unamkufuru vipi mungu Kama mungu ndie anayesababisha wao kua matajiri...au unadhani huo utajiri unakujaje..Ni kwasababu mungu keshapitisha hiyo hali..wanafanya mengi mazuri kutojenga kanisa isiwe kisingizio
 
Pia tuelezee kama kuna uhusiano wa Rockafeller, rothchilds, Jesuits na jews
Sijui umepotelea wapi?

Nilianza kukusoma tangu 2013 nikiwa bado na utoto mwingi. Sasa nina miaka 27 ni mtu mzima. Bado naukumbuka Uzi wako wa Nikola Tesla! Nilihangaika mpaka nikapata movie yake na kumsoma kwa mengi ya nilivyoweza. Masikitiko yangu kipindi najiunga JF mwaka 2018 wengi wao wenye haiba mfano wa kwako siwaoni JF.

Ukimtoa malcolm Lumumba kuna mmoja anaitwa Dotworld , alinifanya nilale usiku sana kama sijakosea ilikuwa 2014 kwenye Jukwaa la Kimataifa ilikuwa ni mada inayohusu umadhubutu wa jeshi na vifaa vita baina ya US na Russia na Eiyer vilevile alinifanya nifikiri kwa utofauti.

Nimewa- miss sana! Heshima kwenu na mapenzi ya Mungu yawe juu yenu. Najihisi nina upweke kwa kuwakosa!
 
Aisee!Hii hatari!
Kuanzia dk ya 10 na sekunde 15 hadi dk ya 11 na sekunde 5 huyu shetani anasema;

"With our grow in control of the weather through HAARP and CHEMTRAILS we will scare the public into accepting our global protection agendas.
We will then phase into the GREAT CLEANSING WHICH MUST OCCUR TO RETURN THE GLOBAL POPULATION TO A MANAGEMENT WITH SCIENCE.

We reinforce the desired norm through advertising,creating a model for people to live up to,that is virtually impossible.
The result is an incomplete desperate individual seeking acceptance.

Through reality television gameshows we repeat the pattern of individual survival vs group survival.This breaks down the idea of community and breed individuals who seek only their self interests.
With the public that is constantly suspicious and scheming,we maintain the status quo of a divided population that never thinks to look up".......

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚akili zikizidi unageuka shetani sababu ya kutaka absolute powers!Ndio hiki sasa kinawakuta hawa illuminati.Wana mipango ya ajabu sana kutaka kuendeleza supremacy yao,ila hawajifunzi tu kuwa unapotaka kuwa na absolute powers over mwanadamu ndio unajitengenezea kaburi lako mwenyewe sababu unagusa "madhabahu" ya Mwamba mmoja mwenye viumbe vyake ambaye kamwe hatoruhusu uingie "patakatifu pa patakatifu"(absolute powers over human soul).

Throughout history inaonyesha wote waliotamani hili waliishia wapi!Bado hawa sasa!
 
Is Corona the start of the so called GREAT CLEANSING?๐Ÿ˜Š
 
๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ‘๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ
 
Kutoka kitabu cha The first global revolution,ripoti ya Club of Rome 1991.ukurasa wa 75.
 
Comittee of 300,Bilderberg,Club of Rome,Global 2000 report..๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค
 
Neno kutoka kwa Club of Rome wenyewe wakiandika sababu na namna club yao ilivyoanza katika kitabu cha The first global revolution.
 
[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ