Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

....huu utajiri mpaka unakera sasa,maana unaweza kumkufuru Mungu,sijaona wakijenga makanisa hata moja aaggghh...!
Unamkufuru vipi mungu Kama mungu ndie anayesababisha wao kua matajiri...au unadhani huo utajiri unakujaje..Ni kwasababu mungu keshapitisha hiyo hali..wanafanya mengi mazuri kutojenga kanisa isiwe kisingizio
 
Pia tuelezee kama kuna uhusiano wa Rockafeller, rothchilds, Jesuits na jews
Sijui umepotelea wapi?

Nilianza kukusoma tangu 2013 nikiwa bado na utoto mwingi. Sasa nina miaka 27 ni mtu mzima. Bado naukumbuka Uzi wako wa Nikola Tesla! Nilihangaika mpaka nikapata movie yake na kumsoma kwa mengi ya nilivyoweza. Masikitiko yangu kipindi najiunga JF mwaka 2018 wengi wao wenye haiba mfano wa kwako siwaoni JF.

Ukimtoa malcolm Lumumba kuna mmoja anaitwa Dotworld , alinifanya nilale usiku sana kama sijakosea ilikuwa 2014 kwenye Jukwaa la Kimataifa ilikuwa ni mada inayohusu umadhubutu wa jeshi na vifaa vita baina ya US na Russia na Eiyer vilevile alinifanya nifikiri kwa utofauti.

Nimewa- miss sana! Heshima kwenu na mapenzi ya Mungu yawe juu yenu. Najihisi nina upweke kwa kuwakosa!
 
Aisee!Hii hatari!
Kuanzia dk ya 10 na sekunde 15 hadi dk ya 11 na sekunde 5 huyu shetani anasema;

"With our grow in control of the weather through HAARP and CHEMTRAILS we will scare the public into accepting our global protection agendas.
We will then phase into the GREAT CLEANSING WHICH MUST OCCUR TO RETURN THE GLOBAL POPULATION TO A MANAGEMENT WITH SCIENCE.

We reinforce the desired norm through advertising,creating a model for people to live up to,that is virtually impossible.
The result is an incomplete desperate individual seeking acceptance.

Through reality television gameshows we repeat the pattern of individual survival vs group survival.This breaks down the idea of community and breed individuals who seek only their self interests.
With the public that is constantly suspicious and scheming,we maintain the status quo of a divided population that never thinks to look up".......

😂😂akili zikizidi unageuka shetani sababu ya kutaka absolute powers!Ndio hiki sasa kinawakuta hawa illuminati.Wana mipango ya ajabu sana kutaka kuendeleza supremacy yao,ila hawajifunzi tu kuwa unapotaka kuwa na absolute powers over mwanadamu ndio unajitengenezea kaburi lako mwenyewe sababu unagusa "madhabahu" ya Mwamba mmoja mwenye viumbe vyake ambaye kamwe hatoruhusu uingie "patakatifu pa patakatifu"(absolute powers over human soul).

Throughout history inaonyesha wote waliotamani hili waliishia wapi!Bado hawa sasa!
 
Is Corona the start of the so called GREAT CLEANSING?😊
 
Mkuu unajua mambo yanavyoendeshwa duniani ni ajabu sana

Kuna mwanajeshi mmoja mstaafu wa jeshi la Uingereza ambae baada ya kustaafu alikuwa ni boss wa kitengo kimoja MI6 na liwahi kwenda kwenye mkutano mmoja wa kuzungumzia amani na mustakabali wa dunia huko Copenhagen ambapo alikutana na watu wazito sana duniani

Ajenda iliyokuwa inazungumzwa huko ilimshangaza sana huyo jamaa na kupelekea kubaki mdomo wazi,walikuwa wanazungumzia kuhusiana na kuja kuwatoa mhanga watu wa China na watu wa mashariki ya kati

Walikuwa wanasema kwenye kikao hicho kuwa "Wazee" wa dunia walikuwa wamekubaliana na "Wakubwa" wa China kuwa watawezesha uchumi wa China kuwa imara lakini na wao watakubali kuja kuwatoa mhanga watu wao kwa hao wakubwa wa dunia kupeleka maradhi kule china,maradhi ya mlipuko kama mafua ya ndege n.k wakati muafaka utakapofika kitendo kitakachopelekea dunia kulazimisha kupatikana kwa suluhu ambayo itapelekea kusimikwa utawala wa serikali moja duniani

Ukiyaangalia maneno ya huyo jamaa unaweza kuona kama ni hadithi hivi lakini kwa mtu ambae anaweza kujiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo juu inaweza tu kuona kuwa kuna jambo haliko sawa katika uchumi wa China na inaonekana kama kuna kama jambo lisiloeleweka hivi

Dunia ndivyo ilivyo na kule China kuna Familia moja hivi ambayo kwa wale wanaofuatilia cospiracy theories watakuwa wanaijua,familia hii inadaiwa kuwa na nguvu sana kule china na inasemekana kuwa ndio waliohusika sana na uchumi wa nchi hiyo kufikia hapo ulipo kutokana na makubaliano waliyokubaliana na Illuminati na familia hiyo ni moja kati ya vizazi 13 vinavyoijenga Illuminati,kizazi hicho kinaitwa Li

Unaweza kujisomea hapa: The Li Bloodline

Kama unataka kujisomea vizazi vyote vinavyoijenga Illuminati gonga hapa: 13 Bloodlines of The Illuminati
😮👍😮😮😮😮
 
Coronavirus ni ushetani mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂
Screenshot_20200409-083701.png
 
Kutoka kitabu cha The first global revolution,ripoti ya Club of Rome 1991.ukurasa wa 75.
Screenshot_20200409-135357.png
 
Comittee of 300,Bilderberg,Club of Rome,Global 2000 report..😤😤
 
Neno kutoka kwa Club of Rome wenyewe wakiandika sababu na namna club yao ilivyoanza katika kitabu cha The first global revolution.
Screenshot_20200409-142022.png
 
Mkuu unajua mambo yanavyoendeshwa duniani ni ajabu sana

Kuna mwanajeshi mmoja mstaafu wa jeshi la Uingereza ambae baada ya kustaafu alikuwa ni boss wa kitengo kimoja MI6 na liwahi kwenda kwenye mkutano mmoja wa kuzungumzia amani na mustakabali wa dunia huko Copenhagen ambapo alikutana na watu wazito sana duniani

Ajenda iliyokuwa inazungumzwa huko ilimshangaza sana huyo jamaa na kupelekea kubaki mdomo wazi,walikuwa wanazungumzia kuhusiana na kuja kuwatoa mhanga watu wa China na watu wa mashariki ya kati

Walikuwa wanasema kwenye kikao hicho kuwa "Wazee" wa dunia walikuwa wamekubaliana na "Wakubwa" wa China kuwa watawezesha uchumi wa China kuwa imara lakini na wao watakubali kuja kuwatoa mhanga watu wao kwa hao wakubwa wa dunia kupeleka maradhi kule china,maradhi ya mlipuko kama mafua ya ndege n.k wakati muafaka utakapofika kitendo kitakachopelekea dunia kulazimisha kupatikana kwa suluhu ambayo itapelekea kusimikwa utawala wa serikali moja duniani

Ukiyaangalia maneno ya huyo jamaa unaweza kuona kama ni hadithi hivi lakini kwa mtu ambae anaweza kujiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo juu inaweza tu kuona kuwa kuna jambo haliko sawa katika uchumi wa China na inaonekana kama kuna kama jambo lisiloeleweka hivi

Dunia ndivyo ilivyo na kule China kuna Familia moja hivi ambayo kwa wale wanaofuatilia cospiracy theories watakuwa wanaijua,familia hii inadaiwa kuwa na nguvu sana kule china na inasemekana kuwa ndio waliohusika sana na uchumi wa nchi hiyo kufikia hapo ulipo kutokana na makubaliano waliyokubaliana na Illuminati na familia hiyo ni moja kati ya vizazi 13 vinavyoijenga Illuminati,kizazi hicho kinaitwa Li

Unaweza kujisomea hapa: The Li Bloodline

Kama unataka kujisomea vizazi vyote vinavyoijenga Illuminati gonga hapa: 13 Bloodlines of The Illuminati
[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom