Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Nilishawahi kusoma kitabu kimoja cha vatican assassins... Kinazungumzia matajiri wakubwa duniani jinsi wanavyitumia taasisi mbalibali kuanzia kanisa la Roman na other shadow organisations...

Na vilevile nimewahi kusoma kuhusu familia 13 ndizo zinazo itawala dunia.. Miongoni mwa hizo familia ni rothschilid rockfeller jp morgan.... Nk.. Mwenye data kuhusu hizi familia afunguke
Sasa wewe umesoma hafu huna data hichi kizazi daa
 
Bill Clinton ni mtoto wa John Rockefeller Jr. Rockefeller's waliokuwa on course kuitawala duniani. Lakini baada ya 1977 Battle of the Harvest Moon umaarufu unaanza kupungua. Hayo Rockefeller's wengi wao wameuawa ingawa apparently they are still alive. Battle of the Harvest Moon kwa wale wasiofahamu ni kwamba Rockefeller's walitaka kuweka military base on the moon. Warusi wakaiteketeza. Ndio maana Wamarekani waliacha ghafla kwenda mwezini saying that it was a waste of time. Look carefully. The situation is very,very deceptive. Dunianiinaongozwa na Russia lLakini inaonekana inaongozwa na Marekani. Hillary Clinton kwa mfano,ni organic robotoid controlled by Russian scientists from their base in Novosibirsk. Hawa robots wako wengi sana Ulaya and I was just wondering kama wamefika Afrika. Jana lilikuwanauliza maswali kuhusu Dr. She in,because of some things that I had noticed. Lakini mod upesi ameiondoa posting yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] google jamani hii kina upuuzi mwingi sana watu wanabeba wanaleta jf humu
 
Mkuu nimesoma vizuri mada zako. pia nimesoma Biblia 6:1-8. Biblia inaonyesha kuwa Mungu aliwaangamiza watu wote isipokuwa Nuhu. sasa hawa unawasema akina Rockafeller wsliponaje? wakati tunaona waliopona ni watu nane tu?
Swali nzuri sana MNFUMAKOLE maana anapotosha watu sana
Nimemuuliza pia hajajibu swami langu?
Yupi very inconsistent yet kuna watu anawachota hapa
 
mwisho wa siku both the rockfella,rothchild and other western powerful families share the same agenda.that's to control the world and push and for a new world order.ila wakae wakijiua kuwa jamii/familia zenye nguvu za far east zinakuja kwa kasi ku-take over.
Familia gani hizo mkuu za far east
 
Got this somewhere

DOUBLES, ROBOTOIDS AND REPLICAS
PHOENIX JOURNAL #24, PP. 92-94
How is it that you find this difficult to accept? These "genetic/holographic" DNA/RNA repli­cas have been in the perfecting for well over four decades. All that is required is a holo­graphic fragment (literally, one cell) and a replica can be reproduced. Then all that is required is down-loading of the memory data and programming of the manufactured entity. I have spoken of this procedure prior to this and will not take precious time to repeat and repeat for those who simply do not wish to go back and effort at gaining the information. You see, I, Hatonn, care not in the least whether or not you believe me nor if you under­stand the mecha­nism by which it works. You are "willing victims" of the lie and YOU will awaken or sleep on-it is up to you. Our com­mission is to outlay the Truth unto you-YOURS IS TO CON­FIRM AND ACKNOWLEDGE-OR NOT, AS YOU WISH. There are technical advances upon your planet, already in use by the Elite, which would boggle your senses-robotoids are simplistic in relative comparison. They are comprised totally of physical "matter" mani­fested into what you perceive as physical coalition of these physical matter par­ticles coalesced ac­cording to the DNA/RNA holographic blueprint whereby the re-creation will be a projection of that which is being copied at the time of replica­tion.

The most obvious clue to replication is that the "new" entity will always be fresh and more youth­ful than that which you will have seen just prior to re­placement. This is why you must have con­trol of all your media in order to pull off the subterfuge. Even under strict control of photogra­phy and make-up tech­nicians-the replication will often differ-usually in reversal of character habits or muscle actions-i.e., there will be a reversal of a "lop-sided" smile-thusly, "talking out of the other side of the face", so to speak. The reversal of these traits is all but impossible to eliminate. So, too, are features which do not re­spond to stress changes as will a "haggard" or fa­tigued face pattern.
Therefore, the structure and location of the ears, nose foundation and eye socket location must be perfected from viewing to viewing through cos­metic illusion and can never be EXACTLY duplicated. The whole ability to fool the public is the ab­solutely accepted "absurdity" of such a possibility of scientific achievement and your lack of attention. Do you not note that often, even as with Bush, that Bar­bara is programmed to note that "...the reason George appears different and weary is that he is getting very little rest as he must ponder ...." You ones pick it up, give sympathy to poor Mr. Bush and beat his drum more loudly for all his pressures. No, the replica simply showed the deviations from the prior entity.

The replicas become weaker with each reproduction and do not stand up under stress. Further, any outstanding negative traits of personality in the original will become exaggerated and un­predictable in actions. There will be wide memory gaps and erratic personality projections. If you ones would pay atten­tion, you could rapidly bring this subterfuge to a halt and the truth would flow across the land like a blinding light. However, you ones prefer to persecute the bringers of the Truth of it and allow the replicas to continue to hold your very existence in their mechanical hands.

Your most effective block to insight is that which is thrust upon you from the pulpits of the churches who tell you to turn away from "this or that" material for it is of Satan. Phoo! They have just effectively caused you to be allowed no insight to the truth of it. You react like obedi­ent puppets and cast stones at the Truth-bringers and bow unto the puppet-master who just in­sured your alle­giance to his continued evil projections.

All you really have to do is listen to what those so-called teachers of Christ and God tell you about the ten commandments laid forth as Laws. Refresh your minds-for instance-"thou shalt not kill"-that, dear ones, does not mean thou shalt kill only sometimes, etc. "Thou shalt not commit adultery"-that doesn't mean that thou shall do so if your hormones tingle and lust strikes you. "Thou shall have no other Gods before ME" doesn't mean on Sunday morning when you must decide whether or not to contribute to the preacher! and have all other Gods be­fore thee except God all the rest of the time-!! and so on it goes.
You have allowed the rewriting of the Laws and accepted them and, when you are told that Cosmic brothers come in service to Satan and you are going to be whisked away through the suffering of a "savior" with no consequence for your own behaviors, you lap it up like the starving beast at the water trough. God GAVE YOU THE GRACEFUL GIFT OF THOUGHT AND REASON THROUGH FREEDOM OF CHOICE-YOU "FOLLOW" LIKE PUPPETS TIED UPON THE STRINGS TO BE MANIPULATED AND DANGLED AS THE WORM UPON THE HOOK.

Ah ye who feel smug as ye cast down your brother and neighbor had best bend in pleading for forgiveness of that one you damage for the Truth is at hand and ye shall reap that which ye sow.

Blessed be the black man, and brown man and red man, who stand against these enemies for IN GOD'S HOUSES THERE IS NO SUCH THING AS JUDG­MENT OF SKIN FOR THAT IS OF THE PHYSICAL AND SUCH DOES NOT EXIST IN THE HIGHER EXPERIENCE OF GOD'S KINGDOMS OF LIGHT. PHYSICAL MAN HAS PRONOUNCED THESE LIMITS UPON YOU OF VARIOUS GROUPS AND YOU HAVE ALLOWED OF IT THROUGH THE GENERATIONS-AH, THERE IS A REVIVAL COMING, BROTHERS OF ALL COLORS, AND IT IS COMING SOON, INDEED. God CREATED ALL IN EQUALITY-MAN HAS PRONOUNCED THE INEQUALITY AND YOU HAVE BE­LIEVED HIM IN HIS EVIL MISIN­FORMATION.

YE SHALL NOT SLAY GOD'S REPRESENTATIVE AGAIN, OH MAN OF EARTH. YOU ARE AT THE GATE OF CHOICE-THE TIME OF CON­FRONTATION AND YOU WILL BE IN THE CHOOSING FOR NONE SHALL ESCAPE OF IT. Stand to the side, Dharma, so we will leave this now, for man to ponder care­fully for the crimes upon man are about to begin in fullness. I petition for mercy that you might be given into the seeing and hearing for I KNOW OF THAT WHICH IS NIGH AND IF YE CHANGE IT NOT, IT IS WORSE THAN ANY CAN CONJURE FOR YOUR NIGHTMARES.

Gyeorgos Ceres Hatonn, Cmdr.

UFF-IGFC

To clear, please.
Good morning.

Source:Doubles, Robotoids and Replicas

Propaganda
 
Familia ya Rockeffeller,five brothers. John. D jr ambaye amekufa katika car accident,. Nelson ambaye amekufa kwa heart attack[actually amepigwa risasi],. David ambaye yuko'hai',lakini acually amepigwa risasi London. Huyu David aliyepo sasa ni robotoid. Huyu jamaa anayefanya hii research take note. Nelson alikufa friday 26 Jan 1979. David amekufa mwezi uliofuata,feb 5 nadhani,. Lawrence pia amekufa. Kama Lawrence yuko hai,that is a mistake, Lawrence ameshakufa. Kama ukipewa tarehe aliyekufa mtu,ni rahisi kufanya research. Kulinganisha before and after photos. Kwa mfano, Jimmy Carter ameuawa kwa kupigwa risasi . 22. April 1979, Pope John Paul II ameuawa kwa sumu. 20 November1978 at 4pm local time. Fanya research,tazama picha,especially tazama masikio.. Again nasema. David na. Lawrence Rockefeller wameshakufa. Rais wengi wa Marekani wameuawa na wamekuwa replaced by robotoids. Obama kama siyo robotoia,. I would be very surprised. Lakini sina specific information kuhusu Obama. Hizi replacements zinafanyika Camp David. This is interesting ukifikiria utakuwepo mkutano wa viögozi wa Ghuba Camp David tarehe 13 May. Tafadhali mtu yeyote asiseme kwamba naandika fables. It annoys me.
They are really fables
Russian
Propagandas
 
Yaani huu uzi Ni powa sana naomba unitumie Kwa email yangu ili niuhifadhi please.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] google jamani hii kina upuuzi mwingi sana watu wanabeba wanaleta jf humu
Kaandika utumbo wa kiwango cha kutafuta mbwa
 
Wape sifa zote ila kwa Mensa Mussa ni wachumba tu, historia inaongea nao wanajua
 
Kuhusu kaini hakuna confusion pale someni vizuri bible
Tatizo watu wengi aidha wamefundushwa vibaya au wana overlook wanaposoma
Challenge kubwa ni kwamba wengi hudhani adam alizaa watoto wawili prior to the death of Abel lakini sihivyo kitabu cha kwanza kimetaja only important figures ambao walienda Ku dictate historia ya Israel

Lakinii ukisoma vizuri kupo wazi Adam alizaa watoto wengi mno wakutosha na ndo hao ambao kaini alikwenda kwai huko
Mwanzoni mwa wanadamu ilikuwa ruksa kuoa Dada ako kulikuwa hamna namna hadi kipindi cha nabii musa ndo incest ( ndoa/mapenzi ya ndugu yani) ikabatilishwa
So rudi in the bible soma critically utaona ninacho kuambia
Mkuu kwa mujibu wa maandiko Adam alikuwa na watoto sita ambao ni

Awan
(daughter)
Cain (son)
Azura (daughter)
Abel (son)
Seth (son)
Aclima (daughter)
 
Rockefeller ni shida sana duniani sijajua kuhusu Rothschild mbona kuna utata kati ya hawa wawili nani yupo juu ya mwenzake??
 
Rockefeller ni shida sana duniani sijajua kuhusu Rothschild mbona kuna utata kati ya hawa wawili nani yupo juu ya mwenzake??
Rothschild ana pesa bwana..

anamiliki migodi yote ya madini duniani..

Rockefeller wamebasi na ujenzi wa viwanda na majengo makubwa yote duniani..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua mambo yanavyoendeshwa duniani ni ajabu sana

Kuna mwanajeshi mmoja mstaafu wa jeshi la Uingereza ambae baada ya kustaafu alikuwa ni boss wa kitengo kimoja MI6 na liwahi kwenda kwenye mkutano mmoja wa kuzungumzia amani na mustakabali wa dunia huko Copenhagen ambapo alikutana na watu wazito sana duniani

Ajenda iliyokuwa inazungumzwa huko ilimshangaza sana huyo jamaa na kupelekea kubaki mdomo wazi,walikuwa wanazungumzia kuhusiana na kuja kuwatoa mhanga watu wa China na watu wa mashariki ya kati

Walikuwa wanasema kwenye kikao hicho kuwa "Wazee" wa dunia walikuwa wamekubaliana na "Wakubwa" wa China kuwa watawezesha uchumi wa China kuwa imara lakini na wao watakubali kuja kuwatoa mhanga watu wao kwa hao wakubwa wa dunia kupeleka maradhi kule china,maradhi ya mlipuko kama mafua ya ndege n.k wakati muafaka utakapofika kitendo kitakachopelekea dunia kulazimisha kupatikana kwa suluhu ambayo itapelekea kusimikwa utawala wa serikali moja duniani

Ukiyaangalia maneno ya huyo jamaa unaweza kuona kama ni hadithi hivi lakini kwa mtu ambae anaweza kujiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo juu inaweza tu kuona kuwa kuna jambo haliko sawa katika uchumi wa China na inaonekana kama kuna kama jambo lisiloeleweka hivi

Dunia ndivyo ilivyo na kule China kuna Familia moja hivi ambayo kwa wale wanaofuatilia cospiracy theories watakuwa wanaijua,familia hii inadaiwa kuwa na nguvu sana kule china na inasemekana kuwa ndio waliohusika sana na uchumi wa nchi hiyo kufikia hapo ulipo kutokana na makubaliano waliyokubaliana na Illuminati na familia hiyo ni moja kati ya vizazi 13 vinavyoijenga Illuminati,kizazi hicho kinaitwa Li

Unaweza kujisomea hapa: The Li Bloodline

Kama unataka kujisomea vizazi vyote vinavyoijenga Illuminati gonga hapa: 13 Bloodlines of The Illuminati
Aisee nimesoma hii coment nkarudi kuangalia tarehe ni 2014,duuh mpk nmeogopa kumbe Kuna watu wanajua Nini kitatokea duniani hata miaka kumi ijayo,hayo mafua ya ndege si ndo Corona yenyewe hii hii tunayoishuhudia[emoji44][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimesoma hii coment nkarudi kuangalia tarehe ni 2014,duuh mpk nmeogopa kumbe Kuna watu wanajua Nini kitatokea duniani hata miaka kumi ijayo,hayo mafua ya ndege si ndo Corona yenyewe hii hii tunayoishuhudia[emoji44][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app

Wataalamu wameshakalculate tayari kuwa COVID-19 ni 666

Kwa namba za kirumi
C=100
V=5
I=1
D=500
in computer codes O stands for 79

hivyo-
[C+O+V+I+D] -19
(100+79+5+1+500)-19 =666

Therefore: COVID-19 = 666
 
Back
Top Bottom