Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hvi wale wanaomlindaga jk nao ni makomandoo kweli?
wale ni walinzi shirikishi kutoka mgambo jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hvi wale wanaomlindaga jk nao ni makomandoo kweli?
Makomandoo WA Tanzania ni mabingwa WA kupasua matofali kwa mikono!!! Kwenye karne ya sayansi na teknolojia. Ni mabingwa WA sarakasi
Aliekwambia kuwa Osama aliuwawa na Wamarekani usimuamini tena hata kama akikupa taarifa za msiba wa Baba yako
kwanini?Mie Nadhani waliomtesa Ulimboka ni zaidi ya Seal team 6 au swat.
Eti wale walioingia Somali hivi karibuni ili kumuua kiongozi wa Al-shabaab walikuwa kina nani? maana mission yao haikufanikiwa
Aliekwambia kuwa Osama aliuwawa na Wamarekani usimuamini tena hata kama akikupa taarifa za msiba wa Baba yako
Hvi wale wanaomlindaga jk nao ni makomandoo kweli?
Mkuu una uhakika?JUMONG bana!
Hata hao Urusi au China au Japan na nchi zote za Western Europe HAZINA weledi wa kufikia SEAL ya USA ndiyo then uifananishe na TZ kweli?
Team SEAL SIX-Virginia based Comandos hawajawahi shindwa operation yyt ile waliyotumwa!
Hata hawa wateka meli wa Kisomalia sasa wamefikia hatua hawazigusi meli zenye bendera ya USA zikikatisha ghuba ya Aden maana wanajua kitakacho wakuta!
makomandoo wapi! akidondokaga majukwaani wanamuokota kashafika chini! Ila wanaweza zile mbwembwe zao za kudandia magari yakiwa yanakwenda kama wapiga debe, kinachoniogopesha kuna mtu siku atavunja meno maana wengi naona wana vitambi.
Mara tuambiwe makomandoo wa Israel mara wa MareKani sasa je tushike lipi tuache lipi? au Marekani na Israel wameungana muungano kama ule wa Pemba na Zimbabwe?
Some of these stories...haaahaaa! Jeshi letu ni moja ya majeshi bora kabisa duniani. Inawezekana technologia tu ndio inayotusumbua kwa sasa ila sio uwezo wa rasilimali watu. We have the best trust me.
Technologia (Technology) is the application of science knowledge for practical purposes....hii ndiyo maana yake.
Sasa unaposema majeshi yetu ni bora lakini technologia ndiyo inayotusumbua ....huo ubora unatoka wapi wakati elimu ya science ya masuala ya usalama tunasumbuka kuitumia....!?
Some of these stories...haaahaaa! Jeshi letu ni moja ya majeshi bora kabisa duniani. Inawezekana technologia tu ndio inayotusumbua kwa sasa ila sio uwezo wa rasilimali watu. We have the best trust me.
Kuna komando mmoja pale Msamvu round about Morogoro alichelewa basi la Dodoma akalikuta moja ndo liko in motion karib na round about, aliruka ka paka na akapitia vidirisha vidogo vya juu ya vioo vya basi akatokezea ndani, dreva alipaki gari kwa kiwewe!Makomandoo WA Tanzania ni mabingwa WA kupasua matofali kwa mikono!!! Kwenye karne ya sayansi na teknolojia. Ni mabingwa WA sarakasi
If technology is everything, why USA trains Navy Seals? If technology is everything why did they fail to prevent Sept 11? Technology in my understanding goes together with capable human resources. We have capable human resouces and miss technology...hapo sasa changamoto ni kuinua technology. Ila masarau kwamba hatuwezi mi simo...