Hivi kipimo cha kuwahakiki makomando huwa ni kipi zaidi?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kuna komando mmoja pale Msamvu round about Morogoro alichelewa basi la Dodoma akalikuta moja ndo liko in motion karib na round about, aliruka ka paka na akapitia vidirisha vidogo vya juu ya vioo vya basi akatokezea ndani, dreva alipaki gari kwa kiwewe!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kama walitumwa kumuua na wakafanikiwa kufanya hivyo why unasema hawakufanikiwa?
Technologia (Technology) is the application of science knowledge for practical purposes....hii ndiyo maana yake.
Sasa unaposema majeshi yetu ni bora lakini technologia ndiyo inayotusumbua ....huo ubora unatoka wapi wakati elimu ya science ya masuala ya usalama tunasumbuka kuitumia....!?
Eti wale walioingia Somali hivi karibuni ili kumuua kiongozi wa Al-shabaab walikuwa kina nani? maana mission yao haikufanikiwa
Kama walitumwa kumuua na wakafanikiwa kufanya hivyo why unasema hawakufanikiwa?
Hao US Navy Seal ni Warembo tu. Kutana na British Commandos ndo utaelewa the most efficient Special force in the world.
hebuntuambie missions walizofanya na wakafinikiwa sana
Hahahahah acha uongo wewe.
Nyingi tu but recently ni:
Osama Bin Laden
Somali's pirates na sasa hawaziteki meli zenye bendera ya USA
Operation za zamani:
Kumkamata Rais wa Panama Noriega
Kulinda interest za USA abroad
nazungumzia hao makomandoo wa Uingereza kwamba ndio wenye ubora zaidi kuliko wengine[/QUOTE
Mkuu!
SEAL ipo USA tu na mm toka mwanzo nazungumzia SEAL ya USA sio makamandoo wa UK!
nazungumzia hao makomandoo wa Uingereza kwamba ndio wenye ubora zaidi kuliko wengine[/QUOTE
Mkuu!
SEAL ipo USA tu na mm toka mwanzo nazungumzia SEAL ya USA sio makamandoo wa UK!
najua hilo,nilicoment kwenye comment ya mtu aliyezungumzia hao makamanda wa uingereza
!
!
akina kova wako trained kuliko hata hao seal team six. Si unaona wanavyooperate kusambaratisha wauwaji trained kama waliomuua Dk. Mvungi, waliomtesa Dk. Ulimboka na hata waliomuumiza Kimbamba
Kwanza kabisa lazima ujue kuwa huwezi kuwa komandoo pasipokumaliza mafunzo ambayo std yk NI world over.
Ndio Maana utakuta mwingine Ana bawa kamili mwingine nusu bawa kifuani,.
Mission yyt inasucceed unapokuwa Na up to a minute information, Sasa Kwa kuwa wenzetu wanavifaa vinavyowawezesha kuwa Na information za current Ndo Maana unackia wanasucceed.
Failure mission zao zinatokana Na kuwa misinformed.
Amini kabisa seal NI Jina tu Na ht sisi majeshini Yapo, usiri wetu unakufanya uhisi hatuna watu km hao
Some of these stories...haaahaaa! Jeshi letu ni moja ya majeshi bora kabisa duniani. Inawezekana technologia tu ndio inayotusumbua kwa sasa ila sio uwezo wa rasilimali watu. We have the best trust me.
Mh ndugu yangu bora ukae kimya, kwani kuna mambo ukija kuyagundua hutotamanai hata kuishi hii nchi. usijiaminishe kwa zile details za kwenye Google na mtandao wa World Armies. Kuna makorokocho ambayo huwezi kuamini kama yapo