Wajue viumbe wa ajabu waishio angani

thread haina kitu kipya,almost ni yaleyale ambao nayasoma/tunayasoma kila siku kuhusu aliens.
 
Katika vitabu vya Mungu havijaelezea kuhusu alien ,zaidi ya wanadamu na wanyama, kama elien ni mnyama hawezi kuwa na akili kuliko binadamu, kwani Allah alie tuumba ametupa ubora na akili kuliko hata hao makini. ..

Labda hao elien wawe ni kundi la makini. .
Kama wanachukua hadi watu isije ikawa ndugu yetu ben alichukuliwa.

Ila hapa ipo hiv;

Bringbenback and alive
 
Eti popobawa... wabongo bhaaana... sa pobobawa ana maajabu gani... mambo ya nyaunyau hayo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mie nnalo kitabu la UFO zikikiwemo picha mbalimbali hicho kitabu kilikuwa published miaka ya 70 nimekisoma sana na kuangalia hiyo mipicha nahisi hawa viumbe wapo lakini sio wale waliopo pichani na walioadikwa
 
Hao alliens hakuna anaejua lolote kama wapo au hawapo...natamani ningejua mtu wa kwanza kuja na stori ya alliens manake najua atakuwa na narration kama hii hapa...

Wazungu ni wapuunzi sana kutuletea stori za ajabu baadaye wanaandaa publication kabisa na inaaminika hivyo...


Nahisi hata picha ya YESU ilianza hivi hivi kama alliens (though hakuna anaejua kama Yesu alikua mzungu)

Hata picha za hawa alliens ni nyeupe tuu! Teh teh!

Naamini hizi finctin stories zitakuja kushika kasi baadaye!
 
Hapo kwenye dinossours umechemka. Ni umbumbumbu kiwango cha lami unaokinzana hata na elimu duni ya std lV.
Kumbe inakinzana na elimu. Kwa upande wangu, ukiachana na hesabu, masomo kama geography nayaona ni yamejaa uongo na fiksi tupu. Kwani vingapi hata huko kwenye elimu vinaitwa nadharia (theories) na bado vichwa panzi wengi wanaona ndiyo ukweli? Je kama na hiyo ya dinossours ni simulizi tu na siyo uhalisia? Lakini yaliyoamuliwa yafundishwe kana kwamba ni ukweli.
 
INAWEZEKANA HIVI VIUMBE WANAVIONA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO WAKATI WA KUFANYA MEDITATION,
(2)INAWEZEKANA LENGO LA KUTUAMINISHA KUWA KUNA ALIENS ILI WAKATI WA UFUFUO UKIFIKA YESU AKIJA, WASEME WATU WALIOFUFULIWA NI ALIENS
 
Hii ni kati ya mada yenye uchambuzi wa kitoto nilizosoma jf.
Eti wao wanaongea kinyume nyume mfano nataka maji eti wao wanasema maji nataka...
Very interesting....
Mkuu kasome vizuri uje tena na uchambuzi wa maana na mada iliyoshiba siyo utoto uliotuandikia.
 
hakuna chawendelezo wowote ile ya Gamboshi umejitafuna ulashindwa kuimaliza sembuse hii.
 
Area 51......, mayai ya kuku ya Plastic............, mchele wa Plastic...........
 
Movie za wazungu zinaharibu vijana kwa kweli.. Hilo li kiumbe la mwisho kwenye thread lipo kwenye movie ya NEMESIS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…