Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome nguva hapo Ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?
Katika vitabu vya Mungu havijaelezea kuhusu alien ,zaidi ya wanadamu na wanyama, kama elien ni mnyama hawezi kuwa na akili kuliko binadamu, kwani Allah alie tuumba ametupa ubora na akili kuliko hata hao makini. ..Ungekua mwanajiolojia, palaentilogist, ungejua mengi kuhusu Dinosaurs, (kasome geological time scale)
Kasome kuhusu mabaki ya hao wanyama yaliyopatikana duniani ikiwepo tanzania pia. Yule mjusi wetu alieko ujerumani
Popobawa limekaa kishirikina na kiroho zaidi, nguva yupo ila sio yule kama mwanamke(nguva ni samaki anayenyonyesha)
Hii kesi ya alliens bado inaniweka njia panda, sometimes naamin sometimes siamin
Ila huwa nawazia hiz Unidentified Flying Objects (UFO) ni vitu gan, mana ufo zimeshaonekana sana ila ndio not identified, so orign yake ni nini, hap ndo napata was was isije kuwa hizi stor za alliens ni kweli.
Kama wanachukua hadi watu isije ikawa ndugu yetu ben alichukuliwa.
Ila hapa ipo hiv;
Bringbenback and alive
Kumbe inakinzana na elimu. Kwa upande wangu, ukiachana na hesabu, masomo kama geography nayaona ni yamejaa uongo na fiksi tupu. Kwani vingapi hata huko kwenye elimu vinaitwa nadharia (theories) na bado vichwa panzi wengi wanaona ndiyo ukweli? Je kama na hiyo ya dinossours ni simulizi tu na siyo uhalisia? Lakini yaliyoamuliwa yafundishwe kana kwamba ni ukweli.Hapo kwenye dinossours umechemka. Ni umbumbumbu kiwango cha lami unaokinzana hata na elimu duni ya std lV.
Ahahaaa.Nimecheka kweli...Kama wanachukua hadi watu isije ikawa ndugu yetu ben alichukuliwa.
Ila hapa ipo hiv;
Bringbenback and alive