Wajue vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao wamemtia unyonge Putin pia Warusi wenzetu wa pale Tandale

Weee kaka sindano zako mbona Kama zina dawa ile ya crystapen......alisikika Pro Russian na kobazi zake huko Tandika Kaburi moja na wenzie kutoka Buza na vingunguti
Haha
 
Sosi ni kichwa chako sio?
Huyu jamaa nimemfahamu kwenye siasa za ndani, nilifikiri ni anaufahamu wa mambo mengi.
,Nilidhani na kwenye siasa za Dunia pia anaufahammu.
lkn kweli nimegundua ana ufahamu mdogo sana wa siasa za Dunia.
Hata anavyojadili TU inaonesha anajadili kwa chuki dhidi ya Urusi Sio fact.
Watu makini humu Kila mtua anajitahidi kutoa fact lkn wapo walio ng'ang'ania ushabiki,mmoja wapo ni huyu bwana.
 
PUTIN hana hela ni swala la muda tu. Biden kampa Ukraine $33billioni juzi ambazo ni nusu ya bajeti ya Russia kwa mwaka ya jeshi. Russia itaaibika sana mda si mrefu
Matokeo tunayaona, God bless America
 
Kwanza watu wanajichanganya 9 May victory siyo ya Urusi pekee ni ya USSR ambayo kila nchi alokuwa Mwana Chama anaisheherekea!

Ila tofautisheni kwanza USSR na Russia


Mwalimu
Putin ndo kaibadili
 
Unatafta nini Kwa Uzi wangu haha
 
Weee kaka sindano zako mbona Kama zina dawa ile ya crystapen......alisikika Pro Russian na kobazi zake huko Tandika Kaburi moja na wenzie kutoka Buza na vingunguti
hahaaa na kobaz zake sio
 
Warusi wameshindwa na wapo wabongo waliona Ukraine sehemu ya kuitolea chuki dhidi ya Marekani

Wakati Ukraine ni taifa huru na linapambana na uvamizi kutokea taifa jingine

No sawa kusema sababu kiswahili ni lugha ilioanzia Kanda ya Bara na visiwani tuanze mkakati wa kuvamia nchi zenye kuzungumza kiswahili Kisha tuziunganishe na nchi yetu
 
Ila nyumbu mnadanganyana aise [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna muda unacheka tu, hao makamanda wa Azov si ndio wamejificha viwandani? Mpaka papa amelia ili watoke, sasa makamanda wapo chini kama panya buku alafu unasema ni kiboko ya Russia? Mbona mnakua wapumbavu sana?

Mariupol imeanguka, mtake msitake. Hakuna hata upinzani wa kurusha jiwe kwa manati, tena imeangushwa na makamanda wa Chechnya na wegner grp, hapo special military kama spetnaz hawajagusa.

Wadanganye kenge wenzio.
 
Azov battalion kwa sasa imebaki tu story maana kikosi chote kimefanyiwa unyama na warusi, warusi walifanya makusudi kuzingira mji wa Mariupol ili kulipa kisasi ndugu zao waliofanyiwa unyama na icho kikosi cha Battalion.

Mbaya zaidi waliamua kuvuka mstari mwekundu baada ya kutumika kufanya mauwaji ya kiongozi(muhasisi) wa kujitenga kwa jimbo la Donesk.

Azov wamefanya ukatili mkubwa sana kwa watu waliokuwa wanapigania kujitenga kwenye mji wa Maliupol.karibia wanajeshi elfu 1 mia 2 wa azov wanashikiriwa na vikosi vya Urusi,na mpaka sasa hatma yao haijulikani kuwa watafanywa nini.

Huyu ndo muhasisi wa kupigania uhuru wa donesk.alifanyiwa assasination kwenye mgahawa ambao uwa anaendaga kupata chai
 
azov walikutana na njemba za chenchen wakapotezwa mpaka ikafika kipindi makamanda wa azov walikuwa wakivaa magauni na wigi ili wakimbie vita

*****
 
kwann adai kujitenga ? kama sio ushoga wake kwa Putin , analeta ushoga kwenye inshu za utaifa
 
Jamaa unatoa mitusi tu mishipa imekaza hadi fuvu linapasuka. Kwani vita yetu?
 
Mkuu!!Hao jamaa hawana chaguo japo kuwa wamepewa nafasi ya kujisalimisha,ila hawapo tayari kujisalimisha kwa sababu hawatatendewa haki na wanajeshi wa Urusi,na ndio maana wenyewe wanajiona km wafu tayari..ila asikudanganye mtu kwamba wanatoa upinzani mkali kwa jeshi la Urusi..Urusi alikuwa na uwezo kumalizana nao ndani ya nusu saa tu,ila kuna raia wapo huko chini na Azov wanawafanya km ngao yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…