Wajue vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao wamemtia unyonge Putin pia Warusi wenzetu wa pale Tandale

"Wabishi" ndio hao waliokimbilia kujificha kwenye kiwanda? Kama ndio hao basi wana hali ngumu.

 
Habari zako unatia chumvi sana.unaandika ukiegemea upande wa magharibi
 
Kwa taarifa yako,
Wakati wa USSR wanachama walikua na uwezo wa kwenda popote kufanyakazi au shughuri yoyote ya kiuchumi.
Wakati wa kuvunjika kwa USSR, kuna RUSSIANS wengi tu walikua na bado wapo kwenye nchi hizo zilizokua wanachama, sawasawa na wa Ukrain walivyo wengi tu ndani ya Moscow.

Pili Russians wengi wanandugu zao wengi tu kwenye hizo nchi zilizokua wanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…