Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Nna...Sawa tumeona lkn kuna watumishi wa serikali waliokuwapo wakati wa mkutano huo lkn kwa ajili ya usalama wa kazi zao hawakupigwa picha unawajua? maama hawa tunao waona siyo wajumbe wote wa mkutano ule.
Shida tunayo wameaminiwa kuandika historia halafu wanatengeneza picha ilikudanganya mwisho wa huu uhuni lzm ni aibu.Nna...
Picha hiyo iloyowekwa na Waku...si picha halisi.
Picha halisi naiweka hapo chini:
View attachment 1913541
Nna...Shida tunayo wameaminiwa kuandika historia halafu wanatengeneza picha ilikudanganya mwisho wa huu uhuni lzm ni aibu.
Mbona Hamza na Polepole siwaoni?Umewafuta kihuni.