Wajue waasisi wa TANU

Wajue waasisi wa TANU

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Hii ndio historia sahihi kuhusu viongozi waasisi wa TANU

FB_IMG_16299738693887833.jpeg
 
Sawa tumeona lkn kuna watumishi wa serikali waliokuwapo wakati wa mkutano huo lkn kwa ajili ya usalama wa kazi zao hawakupigwa picha unawajua? maama hawa tunao waona siyo wajumbe wote wa mkutano ule.
 
Sawa tumeona lkn kuna watumishi wa serikali waliokuwapo wakati wa mkutano huo lkn kwa ajili ya usalama wa kazi zao hawakupigwa picha unawajua? maama hawa tunao waona siyo wajumbe wote wa mkutano ule.
Nna...
Picha hiyo iloyowekwa na Waku...si picha halisi.

Picha halisi naiweka hapo chini:

Screenshot_20210828-233004_Chrome.jpg
 
Shida tunayo wameaminiwa kuandika historia halafu wanatengeneza picha ilikudanganya mwisho wa huu uhuni lzm ni aibu.
Nna...
Hiyo picha aliyopachikwa Joseph Kasella Bantu kati ya Abdul Sykes na Chief Kunambi ilitengenezwa Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Idara ya Picha.

Kitu kingine cha kusikitisha ni kuwa katika kitabu cha maisha ya Julius Nyerere kilichoandikwa na jopo la waandishi watatu wakiongozwa na Prof. Shivji wanasema ati picha hiyo ilipigwa na Denis Phombeah.

Wanasema pia kulikuwa na waasisi wa TANU zaidi ya 17 wanaofahamika na kati ya hao ati Denis Phombeah ni mmojawapo.

Majina ya hao "waasisi," hayakuelezwa ukitoa jina la Phombeah.

Si kweli hayo yote.

Picha ilipigwa na professional photographer Gomes na mipango ya kupiga hii picha alifanya Abdul Sykes.

Nimeeleza historia ya hii picha katika kitabu cha Abdul Sykes.
 
Back
Top Bottom