Wajue wababe waliotikisa dunia

Wajue wababe waliotikisa dunia

walionikosha sana na nilipenda historia zao ni.
Carlos the jackal
osama bin laden
robert mubage
muhamar gadaf
adolf hitler
fidel castro
george bush(mtoto)....kama unawajua weka wababe wengine...

saddam hussein
 
Alexander the Great
Kaisari Augusto
King Solomon, the magnificent
Constantine the king
The coming Anti Christ
 
Mfalme mkwawa, anasifika kwa kujenga himaya yenye nguvu na kumpiga mjerumani vita ya kwanza kule lugalo, na baadaye akapigwa kwa tabu na mjerumani kwenye vita iliyochukua miaka minne kuisha.
 
Yesu Kristo ni Yeye Yule Jana na Leo na Hata milele,aliekuwako,aliyeko ndiye atakaye kuja,Alph na Omega,Mwanzo na Mwisho-Habari yakutikisa Anawashida wooote.
 
Benito musolin alitikisa sana dunia. Yeye na Mzee adolf hitler Walikuwa na project ya Berlin - rome axis.
 
Craca Mandela/Samora ................. Mwanamke aliyewahi kuolewa na marais wawili wa nchi tofauti.
 
Idd Amin Dada ....................... Kukusanya wazee kwenye lorry na kwenda kuwamwaga ziwani.
 
Carl peters
David livingstone
Mwl Jk N.
Tiputipu
Sultan seyid said na barghash
 
hakuna aliyeitikisa dunia kama SHETANI ana control dunia na vyote vilivyomo,wachungaji wanampinga madhabahuni ila wanatekeleza maagizo yake vichochoroni,masheikh,maaskofu,mapadre,wasomi na wasiosoma wanaitikia wito wake direct or indirect,viongozi wa dunia almost woooote wanapiga magoti before him,uchumi wa dunia unaendeshwa kwa sera zake,,,duh!!yaani shetani noma! hadi nabii lwakatare naye kanywea kwa mziki wake!! yaani ni MIMI tu ndiye niliyeweza kumshinda!! hadi Hitler naye anadai eti ni shetani alimpitia! ouuugh!!!
 
Mwigulu mchemba

Zito kabwe

Nchimbi

Naodha vai
Kagasheki

Na waandamizi wengi wa ccm.
walionikosha sana na nilipenda historia zao ni.
Carlos the jackal
osama bin laden
robert mubage
muhamar gadaf
adolf hitler
fidel castro
george bush(mtoto)....kama unawajua weka wababe wengine...
 
Back
Top Bottom