Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Huyu Oluoch anafikiri fikiri ki-CWT zaidi, ana-argue hata mambo asiyoyajua vizuri hadi anaboa. Si angetulia ajifunze kwanza?
Si yeye tu bali kuna vimama fulani pia vinachonga sana kama vile viko Kitchen party na ukiangalia kwa undani havina hoja na sheria havijui lakini vinajifanya vyajua sheria tena havioni hata aibu...Naomba viangalie mwenzao bi Mkora yupo ndani ya baraza kimyaaaa akiendelea kutafakari yanayojiri bila papara
Kama kile kilichoomba mwongozo eti kwanini Oluoch anajitambulisha kama Mwalimu wakati jina lililoandikishwa ni jingine..vinachelewesha muda ili viendelee kupata Posho tu vikiwa Dodoma