Wajue Wagombea 9 watakaoshiriki Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

Wajue Wagombea 9 watakaoshiriki Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM MNACHEKESHA SANA KWANI KUNA UGUMU GANI KUMTANGAZA TULIA KUWA KAPITA BILA KUPINGWA?
1077500153.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
... walivyo wanafiki this time jina la mgombea wa CCM limewekwa chini kabisa kwenye list ya mamluki tofauti na utaratibu wa magamba ambao huhakikisha always jina la mtu wao liko juu!

Hakuna sorting order yoyote whether ascending au descending utakayofanya iwe kwa jina la mgombea au la chama jina la mgombea wa CCM likawa mwisho; ni unafiki kama kawaida yao.

Hata ukizingatia muda wa kuchukua na kurudisha credentials mgombea wa magamba hakuwa wa mwisho; options zote zinagoma ila wameliweka mwisho kinafiki na mamluki nao wamo kwenye harakati za "kugombea uspika"! Wamejaa unafiki hasa.
 
Nafasi ya Usipika imeshushwa hadhi sana.

Hao 9 vikao vyakuwapitisha vilikuwa vinafanyika kwa siri? Mbona huwa wanajinadi kwenye vyombo vya habari na wasemaji wa vyama hutoa matamko ya vikao.
 
Nafasi ya Usipika imeshushwa hadhi sana.
Sana...yaani inafanana na ujumbe serikali za mtaa! Ukiangalia hizo list. Mbali na propaganda za demokrasia!

Huyo KUNJE ana uhusiano na KINJE?

Naona tunaandaliwa kisaikolojia sasa hivi utasikia ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni!
 
chadema vipi si wamsimamishe Martini Maranja
 
Spika ashajulikana hao wengine ni ku-justify process kwamba imefuata kanuni za vyama vingi.
 
Mamluki sio jina sahihi. Wale ni wapambe wa bibi harusi. Ukiondoa bibi harusi, hakuna mwingine miongoni mwao atakayefungishwa hiyo ndoa ya mkeka!
Alafu Kuna Mataga wanafikili eti Kuna uchaguzi.
 
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu kukamilika kwa zoezi la uteuzi na utaratibu wa Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa Katibu wa Bunge hadi kufikia leo saa Kumi Jioni Majina ya jumla ya Wagombea Tisa (9) yalikuwa yamewasilishwa na kukidhi matakwa ya kisheria kwa ajili ya uchaguzi wa Spika unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 1 Februari, 2022.

Aidha, Katibu wa Bunge amesema miongoni mwa Wagombea hao nane sio Wabunge na mmoja ni Mbunge. Aliwataja magombea hao kuwa ni Abdulla Mohammed Said (NRA), Mhandisi Aivan Jackson Maganza (TLP), David Daud Mwaijolele (CCK), George Gabriel Bussungu (ADA -TEA), Kunje Ngombale Mwiru (SAU), Maimuna Said Kassim (ADC), Ndonge Said Ndonge (AAFP), Saidoun Abrahaman Khatib (DP) na Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb).
 
Hawa majamaa ni hatari kuliko hatari yenyewe, nakwambia!!! Wabaguzi, wazushi na wenye kutafuta shari sana shenzy zao hawa. M/ Mungu aendelee kuwalaani mashetani hawa hivi hivi!!
Kabla Mungu hajawalaani atakulaani wewe mtwana wa mafashisti usiye na haya
 
Back
Top Bottom