N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,862 Reaction score 5,693 Feb 1, 2022 #41 Kambi ya Fisi said: Kabla Mungu hajawalaani atakulaani wewe mtwana wa mafashisti usiye na haya Click to expand... Sina tabia za kizushi, chuki, husda, fitna, uchokonozi wala shari; kwa sababu hiyo, siwezi kulaaniwa kwa matakwa ya mashetani. Punguani we!
Kambi ya Fisi said: Kabla Mungu hajawalaani atakulaani wewe mtwana wa mafashisti usiye na haya Click to expand... Sina tabia za kizushi, chuki, husda, fitna, uchokonozi wala shari; kwa sababu hiyo, siwezi kulaaniwa kwa matakwa ya mashetani. Punguani we!
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,858 Reaction score 22,729 Feb 1, 2022 #42 NIMEONA said: Sina tabia za kizushi, chuki, husda, fitna, uchokonozi wala shari; kwa sababu hiyo, siwezi kulaaniwa kwa matakwa ya mashetani. Punguani we! Click to expand... Kabla sijawa punguani weye ulikuwa punguani mzoefu, so umenizidi sana upunguani kibaraka wa matembele
NIMEONA said: Sina tabia za kizushi, chuki, husda, fitna, uchokonozi wala shari; kwa sababu hiyo, siwezi kulaaniwa kwa matakwa ya mashetani. Punguani we! Click to expand... Kabla sijawa punguani weye ulikuwa punguani mzoefu, so umenizidi sana upunguani kibaraka wa matembele
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Feb 1, 2022 #43 Omusolopogasi said: Sidhani kama ndiye. Huyo mgombea ni Kunji wakati huyo unayemsema ni Kiinjekitile. Click to expand... Kwani hao ni watu wawili tofauti kutoka familia ya Kingunge?
Omusolopogasi said: Sidhani kama ndiye. Huyo mgombea ni Kunji wakati huyo unayemsema ni Kiinjekitile. Click to expand... Kwani hao ni watu wawili tofauti kutoka familia ya Kingunge?
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Feb 1, 2022 #44 Ile system ya NEC ya kuweka majina ya wagombea urais uchaguzi wa 2020 Kati ya ccm na CHADEMA hawakuitumia mwaka huu?
Ile system ya NEC ya kuweka majina ya wagombea urais uchaguzi wa 2020 Kati ya ccm na CHADEMA hawakuitumia mwaka huu?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 1, 2022 #45 Ahsante kwa taarifa...
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Feb 1, 2022 #46 Kuna Mmoja hadi hivi sasa narudia rudia Kuangalia alivyokuwa akijinadi mbele ya Wabunge na huyu nikiambiwa kuwa ama havuti Bangi au hanywi Gongo nitakuwa wa Kwanza Kutokukubali. Bunge liwe linawapima Kwanza Akili!!!!!
Kuna Mmoja hadi hivi sasa narudia rudia Kuangalia alivyokuwa akijinadi mbele ya Wabunge na huyu nikiambiwa kuwa ama havuti Bangi au hanywi Gongo nitakuwa wa Kwanza Kutokukubali. Bunge liwe linawapima Kwanza Akili!!!!!
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Feb 1, 2022 #47 Kwani kwenye kugombea urais 2020 Mr #dishlimetilt alienda kupimwa wapi?