Wajue Wamormoni

Wajue Wamormoni

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,238
Wamormoni ni kundi la watu wanaohusiana na dini ya Mormoni, iliyoanzishwa na Joseph Smith huko New York, Marekani, katika miaka ya 1820 akidai alipata njozi na kuonyeshwa kitabu kitakatifu.

Baada ya kifo chake (1844), Wamormoni walimfuata Brigham Younghadi eneo la Utah.

Leo wengi wao ni waumini wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku ya Mwisho (kifupisho cha Kiingereza LDS Church).

Kiini cha utamaduni wao ni jimbo la Utah, ambapo wao ndio wengi kati ya wakazi wote, lakini siku hizi Wamormoni wanaoishi nchini Marekani ni wachache kuliko wanaoishi nje kutokana na umisionari mkubwa wanaoufanya duniani kote.

Idadi yao inakadiriwa kuwa milioni 15.

Imani yao
Wamormoni wanasadiki Biblia pamoja na maandishi mengine kama vile Kitabu cha Mormoni.

Wanasisitiza sharti la kumfuata Yesu Kristo ili kumrudia Mungu, pamoja na kupata ubatizo.

Wamormoni wanajiita Wakristo, ingawa mafundisho yao mbalimbali ni tofauti na yale ya madhehebu yote ya Ukristo, kiasi cha kutokubaliwa nayo (k.mf. Kanisa Katoliki halitambui ubatizo wao, hivyo linawahesabu kama dini tofauti).

Maadili
Pamoja na kukubali mitara kwa msingi wa Agano la Kale, Wamormoni wana maadili imara upande wa jinsia(wakipinga uasherati, uzinifu na ushoga) na wa matumizi ya mwili (vileo, tumbaku, kahawa, chai n.k.).
 
Nilikutana nao katika mishe mishe. Mabinti wawili wazungu. Mmoja anatoka California mwingine anatoka Utah. Acha wakaanza nielezea. Mara Yesu alikwenda pia America.

Mara pamoja na wao wanafanya umissionari ila wapo na wazazi wao inagawa wazazi wao wapo mbali kimwili. Kwa mara ya kwanza ndo nikajua kumbe kuna Joseph Smith.

Ila wa unthubutu. Kutoka huko kuacha familia zao kuja Africa Tanzania kueneza Christ Church. Walinipa contacts zao hata sijahangaika kuwatafuta.
 
Umenikumbusha ile familia ya Mormons iliyouwawa last year kaskazini mwa Mexico. So cruel hizi drug cartels.
 
They were shot and burned alive. Very sad indeed . Mexico is a failed state.
Hapa America hahusiki kweli?
No America hahusiki huko, zaidi anaathirika kutokana na Mexico kuwa ndio gate way ya illegal migrants wanaoingia US na pia ndio gate way ya percent kubwa ya drugs zinazoingia US.

Mexico kwangu wana matatizo makubwa kama matatu. Moja ni 'the drug war' (hapa ni between the government and the cartels na cartels amongst themselves).

La pili ni corrupt officials kuanzia wa ngazi za juu za serikali hadi law enforcers kama police na la tatu ni jamii ambayo imekuwa accustomed to everything in a way that kwao they don't care about anything, wanaouza madawa wanaishi nao (no snitching), wanaokula rushwa wanaishi nao. Kwao maisha ya violence, murder, rape e.t.c ni kama tradition yao hawaoni ajabu.
 
Umesema wanaikubali Bible Sasa Ni vipi wako kinyume na wakristo wengine? Tofaut hasa ni nini? ongeza mchuzi kidogo mkuu
 
Mbona ni hatari sana.
Kuna kipindi nilitamani kwenda kutembea huko, nikashauriwa usalama wangu utakuwa mdogo sana. Nikaingia kwenye mtandao kusoma soma nikaona siwezi kwenda.
Good thing ulifanya uchunguzi kwanza, ni moja ya nchi hatari sana kutokana na business ya drugs.
 
Wana makanisa yao Morocco/Mwenge junct. Mabibo exter. karibu na RC English tupu
 
Hawa jamaa nawatafuta, Makanisa yao nayapata wapi kasikazini?
 
Back
Top Bottom