mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nani kasema? Wanaobet wanalipa kodi kubwa kuliko hyo 20,000.NASHUKURU TUNAOBETI HATUJAWEKWA KWENYE HII ORODHA-
NINGESIKITIKA SANA!!!
πππππππ usiniharibie swaum bana.Hahahahh..! Umenikumbusha mbali msemo wa babu yangu..!
Nimekumiss sana, mbona mumesahaurika nyie wauza nanilii...??
Bado unauza tamu mama..! Miss you mno.m
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]NASHUKURU TUNAOBETI HATUJAWEKWA KWENYE HII ORODHA-
NINGESIKITIKA SANA!!!
ππ€£ππ€£ NomaBora niwe mpiga kiwi viatu tuu aisee...naona hao ndio wako free...Au ndio tupo kwenye 33π???
Wewe lazima uwe masikini wa cc mUjasiriamali una maana pana sana na lengo la raisi wetu mpendwa ni kuwaokoa wajasiriamali na adha waliyokuwa wanapata kukimbizwa kila kona na kunyang'anywa bidhaa zao.Hapo kwenye list angeongeza na manamba wa kwenye migodi na madalali wa mitandaoni pia