Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 1,319
- 2,334
Kuna watu hasa wanaume wamekuwa wakihangaika sana kutaka kujua au kuvifahamu hivi viumbe "wanawake".
Sasa hizi Ni baadhi ya tips kuvihusu hivyo viumbe japo Ni kwa uchache tu
NB: TUISHI NAVYO KWA AKILI TU
MAMBO YATAKAYO KUSHANGAZA KUHUSU MWANAMKE.
Kama wewe ni mwanaume na unasumbuka kumjua MWANAMKE basi elewa kua sio jambo jepesi na pengine hutomaliza kumjua.
1. MWANAMKE anavutiwa saana na mwanaume ambaye ama ameoa, yuko kwenye mahusiano, ama wanawake wengine wanampenda (wanamtaka).
2. Mara nyingi MWANAMKE hapendi mwanaume aliye single 😄
Yaani unajitambulisha "naitwa Fabian, nipo single mwaka wa 7 sasa " hiyo tu inatosha yeye kukuona wewe muongo 😃😃💔
3. Pale mwanaume ambapo hataki mapenzi au mahusiano yaendelee, mwanamke ndio huwa anataka yaendelee.
4. Mwanamke haoni hatari kumpotezea muda mwanaume ambaye hajielewi.
Ameshaonesha ishara zoote kuwa hakutaki, hakupendi, lakini wewe bado unatuma vocha, unatuma hela ukiombwa, unampigia simu na bado unajipa matumaini huku siku zinaenda??🫣🤔
5. Mwanamke humuadhibu kikatili mwanaume ambaye ni mwema (nice guy)
Anapenda saana na anajali kupita kiasi.
6. Mwanamke huwa anataka mwanaume mwenye sifa ambazo hata yeye mwenyewe hana.
7. Mwanamke yuko tayari kumsamehe mwanaume ambaye hajali, mhuni tu, lofa hana kitu (bad boy) lakini atamuumiza kikatili a nice guy 👦
8. Mwanamke hana masharti wala visingizio ama dharura kwa mwanaume anaye mpenda.
Kama hakupendi siku hiyo ndio bibi yake atakufa ili tu asije kuonana na wewe 😃😃😃
9. Mwanamke hana kifua cha kupokea kukataliwa na ndio maana style yao ya kutongoza ni tofauti na wanaume.
Et mwambie achana na mimi, niko kwenye mahusiano mengine hahaha 😆 weeee anaweza kukuroga, hii huwa inamuuma mno.
10. Mwanamke hawezi msahau mwanaume aliyempenda halafu akamfanya akalia😭😭 wengine woote atasahau ila sio huyu.
C&P