Elections 2010 Wajue wapinzani mahiri waliokaliwa kooni majimboni

Heshima kwako Paulss,

Mkuu wangu habari za Ubungo na Kawe zinaweza kuwa kweli kuna rafiki yangu kanieleza hali ya hayo majimbo si nzuri kwa upande wa CHADEMA ila mpigananji Mnyika anajitahidi sana atashinda Mungu akipenda.Unajua wakati mwingine siasa za wapinzani zinachekesha sana fikiria CUF na CHADEMA walikuwa na ushirikiano mzuri bungeni nilishangaa sana wamemsimamisha mgombea Kigoma kaskazini ?.
 
Paulls yuko juu, anachukua kura zote.
 
Paulls yuko juu, anachukua kura zote.
Remmy siko juu hata kidogo ndugu yangu najaribu tu kutoa tathmini ya hali halisi kwa upande wa upinzani, kwani kuna post humu jf inaonyesha wa ccm walio kikaangoni majimboni
 

Upupu!
 

Kura za ubungo, hata washabiki wa CCM watatoa kwa upinzani. Lakini jimbo hilo CCM hachukui hata kwa kuchakachua. Sababu za keenja kuachia jimbo unazijua?
 

Cha kushangaa nini? Kwani uliambiwa nchi hii ina chama kimoja cha upinzani? Waacheni wananchi wachague viongozi wanaowataka hata kama huyo kiongozi anatoka CCM. Jifunzeni kukubali matokeo!
 
mimi nipo kwenye jimbo moja la mtu uliyemta hapo ni uzushi mtupu huyo jamaa hana mpinzani.


umetumwa na nani na utafiti wako wa kiredet
 
Kura za ubungo, hata washabiki wa CCM watatoa kwa upinzani. Lakini jimbo hilo CCM hachukui hata kwa kuchakachua. Sababu za keenja kuachia jimbo unazijua?

mkuu sababu ni kuwa amamua kung'atuka,,vinginevyo nijuze
 
mimi nipo kwenye jimbo moja la mtu uliyemta hapo ni uzushi mtupu huyo jamaa hana mpinzani.


umetumwa na nani na utafiti wako wa kiredet

taja tu jimbo gani nikupe data kamili mkuu
kuhusu REDET hakuna mwaka walio kosea tafiti zao hutoa picha ya matokeo ya mwisho
 
Tuchangie kwa takwimu na support nzuri wanayopata viongozi wetu watarajiwa katika mikutano yao ya kampeni.
 
Hubadiliki pamoja na juhudi binafsi za Invisible kuelewesha sheria za JF. Lete hoja na si viroja vitavyokupeleka kwenye server BAN.

Mbona unafata fata watu wewe hebu ishia zako!
 


Usifanye makosa October 31st chagua CCM!....
 
Mkuu Mwafrika,

Napenda sana kazi yako! hasa pale temwork na Rev M inapojidhihirisha.!
Keep it up!
 

jamani acheni uongo,huna aibu?mie nipo kigoma leo na nimeshuhudia majimbo yote,Kigoma mjini,mashariki kaskazini kasuru na manyovu chadema iko juu na wapinzani wachache wanajikongongoja sasa hayo umeyatoa nwapi wakati zito jimboni kwake ana asilimia 8o
 
JK anapumulia mashine... mikoa 18 Slaa anaongoza kwa mbali ...

At end of the day he is Tanzanian president and he will be for the next 5 years no doubt about this. Only and if he dies!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…