Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Payuka najua inauma lakini ndio hivyo hali halisi, usijali nasikia jimbo la Slaa bado mko vizuri...............
nini tena mkuu REDET wamefanyaje?Redet
Remmy siko juu hata kidogo ndugu yangu najaribu tu kutoa tathmini ya hali halisi kwa upande wa upinzani, kwani kuna post humu jf inaonyesha wa ccm walio kikaangoni majimboniPaulls yuko juu, anachukua kura zote.
Halima mdee na J mbatia, wanadaiwa kugawana kura na kumuacha ccm akipeta
Hali kama hiyo ipo na ubngo, Mtatiro na myika
Segerea mpendazoe hoi
Kwa Zitto hali si shwari kabisa hadi anafikia kuilaumu cuf kusimamisha mgombea strong anagawa kura.
Mrema alianza vizuri lakini sasa mambo yamemkalia vibaya sana vunjo
Mtu mzima Mbowe anatumia nguvu nyingi sana lakini hadi sasa hali yake si ya uhakika
Bwana lema mzee wa kigeugeu hapo arusha watu hawana imani nae kabisa sasa anatishia kuua.
Tundu lisu ndio kabisaa hoi sgd.
Mwenye taarifa zaidi aiweke nawasilisha

Heshima kwako Paulss,
Mkuu wangu habari za Ubungo na Kawe zinaweza kuwa kweli kuna rafiki yangu kanieleza hali ya hayo majimbo si nzuri kwa upande wa CHADEMA ila mpigananji Mnyika anajitahidi sana atashinda Mungu akipenda.Unajua wakati mwingine siasa za wapinzani zinachekesha sana fikiria CUF na CHADEMA walikuwa na ushirikiano mzuri bungeni nilishangaa sana wamemsimamisha mgombea Kigoma kaskazini ?.
Kura za ubungo, hata washabiki wa CCM watatoa kwa upinzani. Lakini jimbo hilo CCM hachukui hata kwa kuchakachua. Sababu za keenja kuachia jimbo unazijua?
mimi nipo kwenye jimbo moja la mtu uliyemta hapo ni uzushi mtupu huyo jamaa hana mpinzani.
umetumwa na nani na utafiti wako wa kiredet
Pumba
Hubadiliki pamoja na juhudi binafsi za Invisible kuelewesha sheria za JF. Lete hoja na si viroja vitavyokupeleka kwenye server BAN.
Halima mdee na J mbatia, wanadaiwa kugawana kura na kumuacha ccm akipeta
Hali kama hiyo ipo na ubngo, Mtatiro na myika
Segerea mpendazoe hoi
Kwa Zitto hali si shwari kabisa hadi anafikia kuilaumu cuf kusimamisha mgombea strong anagawa kura.
Mrema alianza vizuri lakini sasa mambo yamemkalia vibaya sana vunjo
Mtu mzima Mbowe anatumia nguvu nyingi sana lakini hadi sasa hali yake si ya uhakika
Bwana lema mzee wa kigeugeu hapo arusha watu hawana imani nae kabisa sasa anatishia kuua.
Tundu lisu ndio kabisaa hoi sgd.
Mwenye taarifa zaidi aiweke nawasilisha
JK anapumulia mashine... mikoa 18 Slaa anaongoza kwa mbali ...