Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Ila hao uliowataja,maisha yao yako poa tokea kitambo. Kama Sna lee mdogo'ake Baucha.Angalia na umri wao hao watu uliowataja. Wengi wao umri umeshawatupa mkono . Wengine walikaa kwenye game zaidi ya miaka 10 na hakuna walichopata mfano kama Snare lee, Snare ...... Hawakuweza kutoa album wala nyimbo iliyobamba. Kumbuka music ni kipaji
Angalia na umri wao hao watu uliowataja. Wengi wao umri umeshawatupa mkono . Wengine walikaa kwenye game zaidi ya miaka 10 na hakuna walichopata mfano kama Snare lee, Snare ...... Hawakuweza kutoa album wala nyimbo iliyobamba. Kumbuka music ni kipaji
temba na matonya umebugi men
Temba,matonya na juma nature umebugi mkuu,hasa juma nature anapiga sana shoo kubwa mfano juzi tu katoka kupiga shoo na anakonda then akaenda mosha,baadaye dodoma,tamasha la siku ya matumaini temba na juma nature wapo
Noorah bwana!mnakumbuka "unanitega"?
temba na matonya juma nature na banana umebugi men
Asante mkuu lakini hapa niligusia zaidi ile ladha ambayo mashabiki wanaikosa,maana wamekaa kimya sana
Asante mkuu lakini hapa niligusia zaidi ile ladha ambayo mashabiki wanaikosa,maana wamekaa kimya sana
Orodha hii ni ya wasanii wa tz na africa mashariki waliowaacha mashabiki bado wakiwa na kiu na kuwakubali pia kwa kazi zao
1.Ferooz mrisho
2.Jay mo
3.Red sun(kenya)
4.mr blue
5.Inspector haron babu
6.enika
7.saida karoli
8.GK
9.Nyota ndogo
10.Q jay
11.joselyn
12.Malow
13.Juma nature
14.snare
15.Snare lee
16.Bushoke
17.Banana zoro
18Paulin zongo
19.Suma G
20Berry black
21.O-ten
22.Mac mua
23.Daz baba
24.Muumini mwinjuma
25.Bob haisa
26.Temba
27.Noorah
28.Matonya
29.Jose mtambo
30.Z anto
Hii orotha kwa mujibu wangu,waweza.ongezea ama kukosoa.....