Wajue wasanii 30 waliopotea katika musiki huku wakiwa na mashabiki wengi

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
3,497
Reaction score
2,026
Orodha hii ni ya wasanii wa tz na africa mashariki waliowaacha mashabiki bado wakiwa na kiu na kuwakubali pia kwa kazi zao

1.Ferooz mrisho
2.Jay mo
3.Red sun(kenya)
4.mr blue
5.Inspector haron babu
6.enika
7.saida karoli
8.GK
9.Nyota ndogo
10.Q jay
11.joselyn
12.Malow
13.Juma nature
14.snare
15.Snare lee
16.Bushoke
17.Banana zoro
18Paulin zongo
19.Suma G
20Berry black
21.O-ten
22.Mac mua
23.Daz baba
24.Muumini mwinjuma
25.Bob haisa
26.Temba
27.Noorah
28.Matonya
29.Jose mtambo
30.Z anto
Hii orotha kwa mujibu wangu,waweza.ongezea ama kukosoa.....
 
Labda mie mgumu kuelewa!!??Waliipotea........
 
Angalia na umri wao hao watu uliowataja. Wengi wao umri umeshawatupa mkono . Wengine walikaa kwenye game zaidi ya miaka 10 na hakuna walichopata mfano kama Snare lee, Snare ...... Hawakuweza kutoa album wala nyimbo iliyobamba. Kumbuka music ni kipaji
 
Ila hao uliowataja,maisha yao yako poa tokea kitambo. Kama Sna lee mdogo'ake Baucha.
 
Temba,matonya na juma nature umebugi mkuu,hasa juma nature anapiga sana shoo kubwa mfano juzi tu katoka kupiga shoo na anakonda then akaenda mosha,baadaye dodoma,tamasha la siku ya matumaini temba na juma nature wapo
 
Mi ninayemsikitikia ni Q jay nilijua atashine mda mrefu lakini ndo hivyo
 
Angalia na umri wao hao watu uliowataja. Wengi wao umri umeshawatupa mkono . Wengine walikaa kwenye game zaidi ya miaka 10 na hakuna walichopata mfano kama Snare lee, Snare ...... Hawakuweza kutoa album wala nyimbo iliyobamba. Kumbuka music ni kipaji

Kwel lakini mashabiki bado wana kiu
 
Temba,matonya na juma nature umebugi mkuu,hasa juma nature anapiga sana shoo kubwa mfano juzi tu katoka kupiga shoo na anakonda then akaenda mosha,baadaye dodoma,tamasha la siku ya matumaini temba na juma nature wapo

Asante mkuu lakini hapa niligusia zaidi ile ladha ambayo mashabiki wanaikosa,maana wamekaa kimya sana
 
sister p, stara tomasi, mr.nice,wapo wapi jamani hawa.
 
Asante mkuu lakini hapa niligusia zaidi ile ladha ambayo mashabiki wanaikosa,maana wamekaa kimya sana

Juma Mohamed Mchopanga alitoka na kibao chake cha Famous na kilibamba na still kinabamba ktk anga za Hiphop hapa kitaa...
naomba umtoe hapo
 
Haipotei ya juma nature feat tunda man hujaisikia na fitina nayo ya wanaume halisi hizi zote zimetoka juzi tu zinabamba na bado zinabamba,inavyoelekea hufatilii mziki wa kibongo
Asante mkuu lakini hapa niligusia zaidi ile ladha ambayo mashabiki wanaikosa,maana wamekaa kimya sana
 
Orodha hii ni ya wasanii wa tz na africa mashariki waliowaacha mashabiki bado wakiwa na kiu na kuwakubali pia kwa kazi zao

1.Ferooz mrisho
2.Jay mo
3.Red sun(kenya)
4.mr blue
5.Inspector haron babu
6.enika
7.saida karoli
8.GK
9.Nyota ndogo
10.Q jay
11.joselyn
12.Malow
13.Juma nature
14.snare
15.Snare lee
16.Bushoke
17.Banana zoro
18Paulin zongo
19.Suma G
20Berry black
21.O-ten
22.Mac mua
23.Daz baba
24.Muumini mwinjuma
25.Bob haisa
26.Temba
27.Noorah
28.Matonya
29.Jose mtambo
30.Z anto
Hii orotha kwa mujibu wangu,waweza.ongezea ama kukosoa.....

mbona simuoni kalapina
 
Back
Top Bottom