Wajue wasanii 30 waliopotea katika musiki huku wakiwa na mashabiki wengi

Mr nice-naskia anauza bia sikuizi pale urafiki kuna ka-club uchwara
 
Jamani kali P hamjamtaja yupo wapi huyu jamaa na kibao chake cha imekaa vibaya.
 
Umri umewatupa mkono mkuu!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
jamaa alipomaliza chuo tu akaingia jeshini, na sasa yupo makao makuu pale ana nyota mbili.
 
Namkumbuka sana SQUEEZER na lile sauti lake....lakini mwisho wa yote aliishia kula mmea kule msewe na mwenzake OCG....

Squeezer ni noma,,kuna chorus moja kampigia Dataz anakwambia hawa watu weeee wananisikitisha wananisononesha hawa watu heeeeee watu heeeee piga moyo konde mamaa piga moyo konde mamaaaa hawa watu eheeeee...au mr afisa enheenhe
 
Dudu Baya Wa cheka kidogo nione wako mwanya Hai!
Yuko wapi au ndo kawa mganga kama alivyosema Nay wa mitego!
BiG uP kwa Jose Chamilionea bado anazidi kutupa mafurevaaa
 
Jamani kali P hamjamtaja yupo wapi huyu jamaa na kibao chake cha imekaa vibaya.

Kakaman, yule jamaa aliyeimba kama Noma na iwe noma, pamoja na Raha ya mechi bao, sasa hivi ni chizi, yuko Kibambaa!!!
 
King crazy GK,yupo wapi huyu jamaa sauti yake ilikuwa inanifanya nimkubali
 
Kuna binadam mmoja alikuwa anflow flow flanihivi...anatwa MNYALU MIKE T. Nikiwshi mwaka jana kumit nae hapa moro amekaakas hv kama mdingi flan. Huyu ni mmoja kati ya wabongo fleva nilio penda kazi zao. sijui kwa nn kapotea
 
mike t yupo airtel mbeya ni customer care manager wa kule kama sikosei
 
Ebwana mm kuna yule jamaa kaimc ule wimbo wa Tshirt na Jeans...na kale kajamaa kanatokea gongo la mboto kameimba wimbo wa maisha ya uswahilini yana vituko. Pia majitu primitive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…