Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
A-Y mnamuacha wapi..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
roho saba ni mtu kweli ambaya hata ukisikia flow yake ni ya kipekee sana tofauti na wanahip hop wengi kina sijui ONE,DARASA ambao flow zinafanana!sijui kapotelea wapi,angekaza stress zingewajaa wengi....anakuambia hip hop ni urithi alioachiwa na brother BIG na PAC!
Namkumbuka sana SQUEEZER na lile sauti lake....lakini mwisho wa yote aliishia kula mmea kule msewe na mwenzake OCG....
Jamani kali P hamjamtaja yupo wapi huyu jamaa na kibao chake cha imekaa vibaya.
Maskini kikundi cha Sinza (Sewa Side) chaliii.
Kuna binadam mmoja alikuwa anflow flow flanihivi...anatwa MNYALU MIKE T. Nikiwshi mwaka jana kumit nae hapa moro amekaakas hv kama mdingi flan. Huyu ni mmoja kati ya wabongo fleva nilio penda kazi zao. sijui kwa nn kapotea