heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ali kiba
Ali kiba
Roho saba yupo jeshini, labda tusubiri akistaafuroho saba ni mtu kweli ambaya hata ukisikia flow yake ni ya kipekee sana tofauti na wanahip hop wengi kina sijui ONE,DARASA ambao flow zinafanana!sijui kapotelea wapi,angekaza stress zingewajaa wengi....anakuambia hip hop ni urithi alioachiwa na brother BIG na PAC!
Bungeni.Sugu sijui yupo wapi?
Bungeni.Sugu sijui yupo wapi?
Orodha hii ni ya wasanii wa tz na africa mashariki waliowaacha mashabiki bado wakiwa na kiu na kuwakubali pia kwa kazi zao
1.Ferooz mrisho
2.Jay mo
3.Red sun(kenya)
4.mr blue
5.Inspector haron babu
6.enika
7.saida karoli
8.GK
9.Nyota ndogo
10.Q jay
11.joselyn
12.Malow
13.Juma nature
14.snare
15.Snare lee
16.Bushoke
17.Banana zoro
18Paulin zongo
19.Suma G
20Berry black
21.O-ten
22.Mac mua
23.Daz baba
24.Muumini mwinjuma
25.Bob haisa
26.Temba
27.Noorah
28.Matonya
29.Jose mtambo
30.Z anto
Hii orotha kwa mujibu wangu,waweza.ongezea ama kukosoa.....
Wakati kutoka na kuingiza mkwanja vinahitaji fitnaAngalia na umri wao hao watu uliowataja. Wengi wao umri umeshawatupa mkono . Wengine walikaa kwenye game zaidi ya miaka 10 na hakuna walichopata mfano kama Snare lee, Snare ...... Hawakuweza kutoa album wala nyimbo iliyobamba. Kumbuka music ni kipaji