Wajue wasanii 30 waliopotea katika musiki huku wakiwa na mashabiki wengi

Wajue wasanii 30 waliopotea katika musiki huku wakiwa na mashabiki wengi

kuna member wa ECT kama sharifu, lady slay, juma daah hawajamaa nao pia cjui wapo wap
 
roho saba ni mtu kweli ambaya hata ukisikia flow yake ni ya kipekee sana tofauti na wanahip hop wengi kina sijui ONE,DARASA ambao flow zinafanana!sijui kapotelea wapi,angekaza stress zingewajaa wengi....anakuambia hip hop ni urithi alioachiwa na brother BIG na PAC!
Roho saba yupo jeshini, labda tusubiri akistaafu
 
Orodha hii ni ya wasanii wa tz na africa mashariki waliowaacha mashabiki bado wakiwa na kiu na kuwakubali pia kwa kazi zao

1.Ferooz mrisho
2.Jay mo
3.Red sun(kenya)
4.mr blue
5.Inspector haron babu
6.enika
7.saida karoli
8.GK
9.Nyota ndogo
10.Q jay
11.joselyn
12.Malow
13.Juma nature
14.snare
15.Snare lee
16.Bushoke
17.Banana zoro
18Paulin zongo
19.Suma G
20Berry black
21.O-ten
22.Mac mua
23.Daz baba
24.Muumini mwinjuma
25.Bob haisa
26.Temba
27.Noorah
28.Matonya
29.Jose mtambo
30.Z anto
Hii orotha kwa mujibu wangu,waweza.ongezea ama kukosoa.....

Mbona wengine wapo kwenye gemu na wanafanya vzr tu!mfano mr.Blue
 
Angalia na umri wao hao watu uliowataja. Wengi wao umri umeshawatupa mkono . Wengine walikaa kwenye game zaidi ya miaka 10 na hakuna walichopata mfano kama Snare lee, Snare ...... Hawakuweza kutoa album wala nyimbo iliyobamba. Kumbuka music ni kipaji
Wakati kutoka na kuingiza mkwanja vinahitaji fitna
 
Back
Top Bottom