Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mie mgumu kuelewa!!??Waliipotea........
umemsahau mwana fatuma
umemsahau mwana fatuma
je ni kwelii?au wabongo wameshamtengeneza?mana wabongo waone ivi ivi si umesikia ya GEITA CHATA mtu aliyekufa mwaka jana na kuthibitishwa hospitalini na kuzikwa kaonekana na sasa anakula ugali home?chezea WATZ wewe!Nilipokuwa bongo nilimuuliza msanii mmoja alipo bob haisa ...jamaa alinijibu kuwa bob haisa amekuwa chizi kabisa wa kuokota makopo ...ilinisikitisha sana kwa kweli
Juma Mohamed Mchopanga alitoka na kibao chake cha Famous na kilibamba na still kinabamba ktk anga za Hiphop hapa kitaa...
naomba umtoe hapo
dogo kawa mlokole he is a very commited born again christian.usitegemee kabisa kumsikia tena kwenye bongofleva.Mi ninayemsikitikia ni Q jay nilijua atashine mda mrefu lakini ndo hivyo
hahaha.huyo nkulila miaka ya 90 cc wengine ndo alikuwa role mode wetu.nakumbuka zile interwiew alizo kuwa anafanyiwa na kina mike mhagama na sunday shomari pale radio one.Bob rudala je???emmanuel nkulila??
kuna mtu anaitwa Roho7 kwa watu wa Hiphop alinusa tu alafu akasepa...kwenye kuimba nna mmiss dada anaitwa Stara nilimpenda kwa kweli na wale Chuchu Sound band walitisha sana.
temba na matonya umebugi men