Hivi kuijua madagascar ndo kigezo cha kuwa mtangazaji bora?huyo jamaa ni EMPTY SETKibonde ana uelewa mpana. Wengine hawajui hata Madagascar iko upande gani wa dunia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuijua madagascar ndo kigezo cha kuwa mtangazaji bora?huyo jamaa ni EMPTY SETKibonde ana uelewa mpana. Wengine hawajui hata Madagascar iko upande gani wa dunia!
kiboko yake Arnold Kayanda, huyu jamaa anajihisi anajua kila kitu wakati kiazi tu...kuwachana watu sio ssue,unawachana watu gani na kivipi ndo issue...juzi eti anahoji Malinzi kumweka benchi Osiah....huyu hajiulizi kwa nn Mashishanga aliwekwa benchi baada ya uchaguzi 2005 na..mbona hakuhoji?Ukweli unauma! Kibonde ni mtangazaji classic anaewachana mazuzu.
kibonde kichaa huyo.