Wajue watangazaji 'vichwa'

Ukweli unauma! Kibonde ni mtangazaji classic anaewachana mazuzu.
kiboko yake Arnold Kayanda, huyu jamaa anajihisi anajua kila kitu wakati kiazi tu...kuwachana watu sio ssue,unawachana watu gani na kivipi ndo issue...juzi eti anahoji Malinzi kumweka benchi Osiah....huyu hajiulizi kwa nn Mashishanga aliwekwa benchi baada ya uchaguzi 2005 na..mbona hakuhoji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…