Wajue watangazaji vimeo

Mleta mada sidhani hata kama anawajua watangazaji.

Hivi kweli umekaa ukaandika kabisa?
 
Wewewewe....!!!! Saida Simba Kirumanga naomba umtoe haraka sana!

Sio saida..yeye mataja SAID....ni mtangazaji wa chanel ten a male....angalia taarifa ya habari ya saa 1 utamjua
 
Kilumanga, Kawau, Musa George na Anold Kayanda ni majanga. Wanajiona wajuaji kumbe bure kabisa
 
kitenge ni bonge la mtangazaji. Tofautisha kati ya mtangazaji na mchambuzi.

Mfano Kibonde, yule ni mchambuzi siyo mtangazaji, Millard Ayo mtangazaji.

Taja vigezo vinavyokufanya useme ni 'bonge la mtangazaji'...
 
Hivi kuna mtangazaji mahiri wa kipindi cha sports kumzidi Maulid Kitenge?

Mijitu mingine bwana ikivimbiwa inadhani JF ndio mahali pa kuja kujambajamba.

kwangu mimi kitenge ni next level kwa habari za michezo,nafikiri tumheshimu huyu mkuu kwasababu ya uhuru wa kutoa maoni basi.
 
kitenge ni bonge la mtangazaji. Tofautisha kati ya mtangazaji na mchambuzi.

Mfano Kibonde, yule ni mchambuzi siyo mtangazaji, Millard Ayo mtangazaji.

Kibonde yeye babako ni mshereheshaji. Yeye pamoja na Mbwiga.
 
ivi yule mbwiga mbwiguke anajua hata kusoma na kuandika kweli???? au kuchekesha tu ndo imempa kazi kweli utangazaji kila mtu anaweza maadam ujue tu mbwembwe na uongo uongo!!

Hapa imenibidi nicheke kwanza kisha nianze kutafakari.
 
umevurugwa
 
Ahahahahaaaaa, aisee....
JF raha sana, stress zote za kufokewa na boss leo zimeisha lol!

Hivi kuna mtangazaji mahiri wa kipindi cha sports kumzidi Maulid Kitenge?

Mijitu mingine bwana ikivimbiwa inadhani JF ndio mahali pa kuja kujambajamba.
 
Kwanza kibonde ndio kilaza mkubwa,Ana sauti ila Hana brain,uchambuzi wake huwa ni wa kinafiki hasa inapokuja suala linalohusiana na siasa na CCM,inaelekea ni mtangazaji aliyevitupa vitabu baada tu ya kumaliza mafunzo ya utangazaji,wengine ni watangazaji wa TBC,sijui huwa wanatolewa kijijini kuja kutangaza au wanauoga na screen,wakiwa wanatangaza taarifa ya habari ni Kama wanataka kuruka vile.
 
samahani lakini joyce kiria nae naona bado sana
 
wenye uwezo mdogo kabisa ni..gerald hando mzee wa kuingilia mada zilizo mezani, adam mchomvu mzee wa diz waridiz na bangi tupu,hamis mandi b12 huyu hajui kiingereza kabisa mfano intaview alioifanya juzi na davido alisaidiwa sana na vanesa mdee na amebase sana kwa wasanii wa arusha,wasi wasi mwabulambo jamaa hajui kabisa, fm kibonde amejawa na matusi sana,djaro arungu uzamaani hadi 21th century...dah kwa leo acha niishie 2 hapa maana ukienda kwa izi ambazo sio super brand radio utacheka sana yaani sio wafuatiliaji wa mambo wanapatia 2 usomaji wa magazeti asubuhi...
 
huyo hata vichekesho vyake huwa havichekeshi analazimisha fani, anaropoka 2.
ivi yule mbwiga mbwiguke anajua hata kusoma na kuandika kweli???? au kuchekesha tu ndo imempa kazi kweli utangazaji kila mtu anaweza maadam ujue tu mbwembwe na uongo uongo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…