Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewewewe....!!!! Saida Simba Kirumanga naomba umtoe haraka sana!
mkuu kibonde ni mchambuzi wa nini
kitenge ni bonge la mtangazaji. Tofautisha kati ya mtangazaji na mchambuzi.
Mfano Kibonde, yule ni mchambuzi siyo mtangazaji, Millard Ayo mtangazaji.
Hivi kuna mtangazaji mahiri wa kipindi cha sports kumzidi Maulid Kitenge?
Mijitu mingine bwana ikivimbiwa inadhani JF ndio mahali pa kuja kujambajamba.
kitenge ni bonge la mtangazaji. Tofautisha kati ya mtangazaji na mchambuzi.
Mfano Kibonde, yule ni mchambuzi siyo mtangazaji, Millard Ayo mtangazaji.
ivi yule mbwiga mbwiguke anajua hata kusoma na kuandika kweli???? au kuchekesha tu ndo imempa kazi kweli utangazaji kila mtu anaweza maadam ujue tu mbwembwe na uongo uongo!!
Closed but message sent.
umevurugwaKifo cha Nyaisanga kinatukumbusha jinsi idadi ya watangazi mahiri inavyozidi kwisha na kubaki na kundi la vimeo. Watangazaji vimeo ni pamoja na,. .. Said Kilumanga, Kipanya Orest Kawau ( magic fm), Abdala Mwaipaya na Kitenge (redio one), Akilimali, Anord Kayanda, Mwabulambo, Chilewa, Maestro na wengine wengi.. Hawa uwezo wa lugha na upeo ni mdogo lakini wana mbwembee. Taja wengine..
kitenge na mwaipaya umebugi
Hivi kuna mtangazaji mahiri wa kipindi cha sports kumzidi Maulid Kitenge?
Mijitu mingine bwana ikivimbiwa inadhani JF ndio mahali pa kuja kujambajamba.
Umeonaeeeee...hajitambui hata kidogo....Katika watu waliopotea njia ya kwao ni
wewe.
ivi yule mbwiga mbwiguke anajua hata kusoma na kuandika kweli???? au kuchekesha tu ndo imempa kazi kweli utangazaji kila mtu anaweza maadam ujue tu mbwembwe na uongo uongo!!