myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 235
kwa waliobahatika kuangalia kipindi cha mikasi jana EATV nadhani walimuona mtangazaji bora kabisa Masoud Masoud akikiteka kipindi hiko jana kwa kumfanya mtangazaji mfupi kuliko wote Tanzania Salama Jabiri na maswahiba wake ambao hawana weledi wala muonekano wa kuonekana runingani wakiwa wapole kabisa na kutamani kipindi kiishe kwa kuogopa maswali ya nguli huyo Masoud Masoud