Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
yule jamaa ni fala sana
Ahahahahahah jiwe? Basi atakua namba 05 mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahah jiwe? Basi atakua namba 05 mkuu
Inawezekana alizaliwa na kukulia huko, remember hiyo Ukraine ilikua ni miongoni mwa vinchi vilivyo ifanya USSR, kimeanza mwanzoni mwa miaka ya 90 hicho ki UkrainePoor Brain,
Joseph Stalin hakuwa kiongozi wa Ukraine bali wa Soviet Union(USSR)hebu edit hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo namba nne rekebisha maana wakati huo hakukua na watu wanaitwa waisraeli kwasababu hakukua na nchi yenye jina hiloHabari wakuu,
Kwa uchache nataka niwape historia fupi ya watu ambao ni katili na bado historia zao zinakumbukwa mpaka leo.
Dunia imewahi kukaliwa na watu mbali mbali. Wapo wanaozungumzwa kwa maadili yao mema na sifa zilizotukuka kuna kuna kundi linazungumzwa kwa uongozi wao mwema na pia kuna kundi linazungumzwa katika mtazamo hasi
Sasa turudi katika mada yetu husika hawa watu wafuatao walifanya karibia kila jambo la kuogopesha kwa namna walivyojisikia.
01. JOSEPH STALIN
Alikua kiongozi wa chama cha kikomunist kuanzia mwaka 1922 mpaka mwaka 1953 alipo fariki dunia. Chini ya utawala wa stalin taifa la ukraine lilipitia katika adha kubwa sana ya njaa. Ila mbali na tatizo hilo pia katika utawala wake watu wengi walinyongwa kama matokeo ya sheria alizounda kwa ajili ya watu wengi walinyongwa kama matokeo ya sheria alizounda kwa ajili ya watu walioonekana na mawazo kinzani na yake.
Mbali na watu wengi kufa na njaa kutokana na mfumo wake mbovu wa utawala ila pia katika enzi zile aliweza kunyonga watu zaidi ya mil60. Ni mtu aliyeogopesha kuanzia kauli mpaka matendo yake pia alifanya mauaji bila hata kujali haki za raia wake. Kiongozi huyu alibaki kuwa muovu na katili mpaka siku zao za mwisho
02. VLAD TEPES
Alikua mtoto wa mfalme wallachia wa romania kutoka mwaka 1448 mpaka mwaka 1476 Vlad anajulikana kama nguli na mkufunzi wa adhabu za kikatili duniani.
Miongoni mwa mateso makali aliyowai kuyatoa kwa wote walioonekana kumkosea ni kama yafuatayo:
Msumali wa kichwa, ukatajia wa viganja, kupofoa macho, kuwaunguza katika tanuri la moto wakosefu wake, kukata pua na masikio kukata sehemu za siri kwa wanaume hawa ni kwa wale waliokumbwa na makosa yanayohusiana na masuala ya kuchukua wake za watu. Pia alikua na kawaida ya kuwapika katika moto mkali watu waliokuwa na makosa mengine.
Katika vitabu vinavyoelezea utawala wao hakuna binaadamu wa kawaida anayeweza kuvisoma na kufurahishwa navyo. Alikua akifanya kila jambo la kikatili kwa binaadamu . watu walibanikwa , walichinjwa, na kupikwa bila hofu mwaka 1960 watu zaidi ya mil 1 walihukumiwa kuchomwa na visu katika enzi za utawala wake.
03. RUHOLLAH KHOMEIN
Kwa waarabu na wafuasi wa dini ya kiislamu hasa wale wa misimamo mikali hawawezi kumjumuisha kama binaadamu katili.
Huyu alikua kiongozi wa kidini katika taifa la iran kuanzia mwaka 1979 mpaka mwaka 1989 alikua kiongozi aliyekua mstali wa mbele kutoa adhabu na amri zinazo tafsiriwa kuwa ni za kikatili.
Wazinifu, wezi pamoja na wote waovu walipata habari yao katika taifa hilo la kiislamu. Halia hiyi ilizua hofu na uwoga kwa raia wa nchi za magharibi kwenda katika taifa hilo maana hakukua na bar wala uvaaji wa suruali hadharani kwa mwanamke na katika taifa hilo mwanaume wa kweli ni yule aliyekua akifuga ndivu.
Mwaka 1988 alitoa amri ya kuuwawa kwa wafungwa wa kijeshi waliokua wanapigana zidi ya serikali ya kiislamu. Aliua watu takribani 30,000 waliotaka kulifanya taifa hilo kuwa la kidemokrasia kwa kuamini kuwa kila dini ina haki ya kuongoza iran
Ilipofika june 4 mwaka 1989 baada ya kusumbuliwa na kutoka ndani kwa ndani kwa mda mrefu hatimaye kiongozi huyo alifariki dunia na kuacha simanzi katika taifa zima la iran huku mataifa ya magharibi hususani marekani, ufaransa na uingereza wakipendezwa sana na habari ya kifo chake.
04. ADOLPH HITLER
unamkumbukahuyu ? Katili aliyekua na kipaji hasa cha kuongoza kutoka katika familia masikini iliyomnyima elimu bora na maisha ya anasa mpaka kuwa mtu mzima.
Adolph hittler alichaguliwa kuwa chancelor mwaka 1933 na kua kiongozi mwenye mamlaka makubwa zaidi ujerumani fuhrer mwaka 1934 mpaka mwaka 1945 inaposemwa alikufa.
Mwishoni mwa vita ya pili ya dunia mteso kwa maadui zake na manyanyaso vilikua ni vitu vilivyopewa kipaumbele sana katika utawala wake. Ila tukio kubwa ni lile la kuwatesa na kuwauwa waisrael takribani milioni 6.
April 30 mwaka 1945 baada ya kuona vikosi vyake vinazidiwa nguvu na majeshi ya adui, inasemekana adolph hitler aliamua kujiua kwa kujipiga risasi na mwili wake kutumbukia katika pipa la tindikali na mwili wake kuteketea kabisa.
Anajulikana kwa jina la ivan IV pia alijulikana kwa jina la ivan the terrible. Alikua ni wakala mzuri wa kuvunja haki za binaadamu kutoka mwaka 1533 mpaka 1547. Ndiye alikua kiongozi wa kwanza wa urusi kuchukua haki za mfalme.
Niishie hapo kwa leo, kama kuna la kuongezea.
Hujaona nimeandika Soviet Union!??ninatambua yote uliyoyaelezea lakini Stalin hakutokea Ukraine bali alitokea GeorgiaInawezekana alizaliwa na kukulia huko, remember hiyo Ukraine ilikua ni miongoni mwa vinchi vilivyo ifanya USSR, kimeanza mwanzoni mwa miaka ya 90 hicho ki Ukraine
WaajemiNamba tatu edit Iran ni wa Persian/washirazi sio waarabu
Hapo sasa! ebu tiririka Mkuu usiogope, Mossad hawaji! na kwa nini wauawe wao tu? tajiri anakufa kizembe?Hizi takwimu za Adolph Hitler kuua wayahudi milioni 6 mbona kama kuna ukakasi kulingana na idadi ya wayahudi kipindi hicho
Kweli br.. hata Leo wayshudi wote wakijumlishwa hawafiki 10 milioni,, waliopo Israel + abroadHizi takwimu za Adolph Hitler kuua wayahudi milioni 6 mbona kama kuna ukakasi kulingana na idadi ya wayahudi kipindi hicho
Kweli Stalin alikuwa kiongozi wa Soviet Russia aliyetokea Jamhuri ya Georgia,, hakuwatesa waukraine tu Bali hata world war 2 veterans waliingizwa jela iitwayo gulagSina uhakika na usemalo mkuu
Live .. ni Stalin alieifanya Soviet kuwa superpowerHapo kwa Stalin ni propanganda za mabeberu jamaa alifanya mambo makubwa sana USSR enzi hizo.
Sawa mabaya yapo lakini si kama ulivyoandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaHakuna katili kama hili dude!View attachment 1531354
hapo mwaka 1533 mpaka 1547 umekosea halikuwa hajazaliwaHabari wakuu,
Kwa uchache nataka niwape historia fupi ya watu ambao ni katili na bado historia zao zinakumbukwa mpaka leo.
Dunia imewahi kukaliwa na watu mbali mbali. Wapo wanaozungumzwa kwa maadili yao mema na sifa zilizotukuka kuna kuna kundi linazungumzwa kwa uongozi wao mwema na pia kuna kundi linazungumzwa katika mtazamo hasi
Sasa turudi katika mada yetu husika hawa watu wafuatao walifanya karibia kila jambo la kuogopesha kwa namna walivyojisikia.
01. JOSEPH STALIN
Alikua kiongozi wa chama cha kikomunist kuanzia mwaka 1922 mpaka mwaka 1953 alipo fariki dunia. Chini ya utawala wa stalin taifa la ukraine lilipitia katika adha kubwa sana ya njaa. Ila mbali na tatizo hilo pia katika utawala wake watu wengi walinyongwa kama matokeo ya sheria alizounda kwa ajili ya watu wengi walinyongwa kama matokeo ya sheria alizounda kwa ajili ya watu walioonekana na mawazo kinzani na yake.
Mbali na watu wengi kufa na njaa kutokana na mfumo wake mbovu wa utawala ila pia katika enzi zile aliweza kunyonga watu zaidi ya mil60. Ni mtu aliyeogopesha kuanzia kauli mpaka matendo yake pia alifanya mauaji bila hata kujali haki za raia wake. Kiongozi huyu alibaki kuwa muovu na katili mpaka siku zao za mwisho
02. VLAD TEPES
Alikua mtoto wa mfalme wallachia wa romania kutoka mwaka 1448 mpaka mwaka 1476 Vlad anajulikana kama nguli na mkufunzi wa adhabu za kikatili duniani.
Miongoni mwa mateso makali aliyowai kuyatoa kwa wote walioonekana kumkosea ni kama yafuatayo:
Msumali wa kichwa, ukatajia wa viganja, kupofoa macho, kuwaunguza katika tanuri la moto wakosefu wake, kukata pua na masikio kukata sehemu za siri kwa wanaume hawa ni kwa wale waliokumbwa na makosa yanayohusiana na masuala ya kuchukua wake za watu. Pia alikua na kawaida ya kuwapika katika moto mkali watu waliokuwa na makosa mengine.
Katika vitabu vinavyoelezea utawala wao hakuna binaadamu wa kawaida anayeweza kuvisoma na kufurahishwa navyo. Alikua akifanya kila jambo la kikatili kwa binaadamu . watu walibanikwa , walichinjwa, na kupikwa bila hofu mwaka 1960 watu zaidi ya mil 1 walihukumiwa kuchomwa na visu katika enzi za utawala wake.
03. RUHOLLAH KHOMEIN
Kwa waarabu na wafuasi wa dini ya kiislamu hasa wale wa misimamo mikali hawawezi kumjumuisha kama binaadamu katili.
Huyu alikua kiongozi wa kidini katika taifa la iran kuanzia mwaka 1979 mpaka mwaka 1989 alikua kiongozi aliyekua mstali wa mbele kutoa adhabu na amri zinazo tafsiriwa kuwa ni za kikatili.
Wazinifu, wezi pamoja na wote waovu walipata habari yao katika taifa hilo la kiislamu. Halia hiyi ilizua hofu na uwoga kwa raia wa nchi za magharibi kwenda katika taifa hilo maana hakukua na bar wala uvaaji wa suruali hadharani kwa mwanamke na katika taifa hilo mwanaume wa kweli ni yule aliyekua akifuga ndivu.
Mwaka 1988 alitoa amri ya kuuwawa kwa wafungwa wa kijeshi waliokua wanapigana zidi ya serikali ya kiislamu. Aliua watu takribani 30,000 waliotaka kulifanya taifa hilo kuwa la kidemokrasia kwa kuamini kuwa kila dini ina haki ya kuongoza iran
Ilipofika june 4 mwaka 1989 baada ya kusumbuliwa na kutoka ndani kwa ndani kwa mda mrefu hatimaye kiongozi huyo alifariki dunia na kuacha simanzi katika taifa zima la iran huku mataifa ya magharibi hususani marekani, ufaransa na uingereza wakipendezwa sana na habari ya kifo chake.
04. ADOLPH HITLER
unamkumbukahuyu ? Katili aliyekua na kipaji hasa cha kuongoza kutoka katika familia masikini iliyomnyima elimu bora na maisha ya anasa mpaka kuwa mtu mzima.
Adolph hittler alichaguliwa kuwa chancelor mwaka 1933 na kua kiongozi mwenye mamlaka makubwa zaidi ujerumani fuhrer mwaka 1934 mpaka mwaka 1945 inaposemwa alikufa.
Mwishoni mwa vita ya pili ya dunia mteso kwa maadui zake na manyanyaso vilikua ni vitu vilivyopewa kipaumbele sana katika utawala wake. Ila tukio kubwa ni lile la kuwatesa na kuwauwa waisrael takribani milioni 6.
April 30 mwaka 1945 baada ya kuona vikosi vyake vinazidiwa nguvu na majeshi ya adui, inasemekana adolph hitler aliamua kujiua kwa kujipiga risasi na mwili wake kutumbukia katika pipa la tindikali na mwili wake kuteketea kabisa.
Anajulikana kwa jina la ivan IV pia alijulikana kwa jina la ivan the terrible. Alikua ni wakala mzuri wa kuvunja haki za binaadamu kutoka mwaka 1533 mpaka 1547. Ndiye alikua kiongozi wa kwanza wa urusi kuchukua haki za mfalme.
Niishie hapo kwa leo, kama kuna la kuongezea.
UMEMSAHAU JIWE KUTOKA CHATTLE!Habari wakuu,

Hii si kweli, wali exaggerate ili kujenga chuki na waonewe hurumaHizi takwimu za Adolph Hitler kuua wayahudi milioni 6 mbona kama kuna ukakasi kulingana na idadi ya wayahudi kipindi hicho