kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Si nasikia kuna mgombea mmoja wapo alikataa rushwa aliyopekelewa na mwana wa malkia akiwa ameambata na mwanachama wa chama chake au ni porojo zake tu naye.Kwa Aina Ya Wajumbe Wa Vyama Vyetu Hivi Vya Siasa Sijaona Wa Kukataa Pesa Akihitajika Kupewa Pesa,,Ukizangatia Na Ka Mwisho Ka Mwaka Haka Wajumbe Hawana Mpango Wa Kukusikiliza Kamwe.
Nakataa, you know mlungula unashusha hadi hadhi ya mtuWewe ukiletewa Mlungula utakataa?
Wajumbe najua wengi mpo humu na mnasoma haya na mnaziona harakati na vikao vya siri na vya wazi mnavyo endelea navyo huko mafichoni, sasa kama mtajichanganya shauri yenu na heshima ya chama chenu mliyo ijenga miaka yote itapotea kabisa ndiyo mtakuwa mnakiua kama vilivyo kufa vyama vingine.
Mkumbuke kuna watu wameuawa kwa ajili ya kutetea misimamo na imani ya hicho chama chenu, kuna waliolemazwa pia kwa ajili ya kusimamia misimamo ya hicho chama dhid ya udhalim wa serikali sasa kukubali rushwa na pesa za hongo ni kukinajisi sana chama hicho na hasa kwa namna kilivyo jijenga na kilivyo aminiwa huko duniani.
Mods mlicho nifanyia kwenye TITTLE yangu sio poa kabisa pamoja na kwamba mmenidanyishia kwa kuniwekea na kapicha kwa mkazo.
Wajumbe najua wengi mpo humu na mnasoma haya na mnaziona harakati na vikao vya siri na vya wazi mnavyo endelea navyo huko mafichoni, sasa kama mtajichanganya shauri yenu na heshima ya chama chenu mliyo ijenga miaka yote itapotea kabisa ndiyo mtakuwa mnakiua kama vilivyo kufa vyama vingine.
Mkumbuke kuna watu wameuawa kwa ajili ya kutetea misimamo na imani ya hicho chama chenu, kuna waliolemazwa pia kwa ajili ya kusimamia misimamo ya hicho chama dhid ya udhalim wa serikali sasa kukubali rushwa na pesa za hongo ni kukinajisi sana chama hicho na hasa kwa namna kilivyo jijenga na kilivyo aminiwa huko duniani.
Hadhi kwenye Nchi masikini kama hii itakusaidia nini kwa mfano? 😂Nakataa, you know mlungula unashusha hadi hadhi ya mtu
Aliyepanga uchaguzi January alifikiria mengi. Kama vile nawaona wajumbe na jogoo kwapani na ka kilo ka mchele mkononi, huku wanapiga mluzi wa "we wish you a marry Christmas and Happy New Year"Kwa Aina Ya Wajumbe Wa Vyama Vyetu Hivi Vya Siasa Sijaona Wa Kukataa Pesa Akihitajika Kupewa Pesa,,Ukizangatia Na Ka Mwisho Ka Mwaka Haka Wajumbe Hawana Mpango Wa Kukusikiliza Kamwe.
Wajumbe Ndio Huwaga Na Hali Mbaya Hao Wenye Vyeo Wanakunywa Mvinyoo Tu Na Wenye Vyeo Wenzao Huku Wakiwananga Wateja Wao Wanyonge Wakija Mbele Ya Makamera Wanatuhadaa TuSi nasikia kuna mgombea mmoja wapo alikataa rushwa aliyopekelewa na mwana wa malkia akiwa ameambata na mwanachama wa chama chake au ni porojo zake tu naye.
Njaa Haina BaunsaAliyepanga uchaguzi January alifikiria mengi. Kama vile nawaona wajumbe na jogoo kwapani na kayo kilo ka mchele mkononi, huku wanapiga mluzi wa "we wish you a marry Christmas and Happy New Year"
Unajua rushwa ndiyo inasababisha hadi sasa treni yetu SGR inafanyiwa misuko suko ya makusudi?Wewe ukiletewa Mlungula utakataa?
FAM ameitoa chadema mbali, nini cha kumshinda sasa hivi?Baadhi ya wajumbe hao walishaanza kupata mgao tangu hatua za mwanzoni kabisa. Mbaya zaidi huo mgao hautoki kwa FAM tu, bali hata mfumo wanafadhili karibu kila kitu ili kuhakikisha Lissu hachaguliwi kabisa.
Wajumbe wakifanya kosa wakalewa na vijisenti wakamchagua FAM, mimi naamini CHADEMA itakuwa ndo mwisho wake wa kuwa chama kikuu cha upinzani.
FAM hawezi kuongoza mapambano ya kweli ya kushinikiza upatikanaji wa Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi.
Hiyo hela anatoa Mganga wao Mshana ukizingua kwenye kupiga Kura anakudedisha 🐼Nawashauri wajumbe wasikatae pesa na kura wampe TL
Ina maana hiyo hela inaimbiliziwa kwanza ndo inatolewa kwa walengwa?Hiyo hela anatoa Mganga wao Mshana ukizingua kwenye kupiga Kura anakudedisha 🐼
Kumbe ni kweli rushwa ni adui wa haki