johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Fedha yote inapelekwa Msata Kilingeni halafu Mshana Jr anafanya maufundi ndio zinakuja kugaiwa 😃Ina maana hiyo hela inaimbiliziwa kwanza ndo inatolewa kwa walengwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fedha yote inapelekwa Msata Kilingeni halafu Mshana Jr anafanya maufundi ndio zinakuja kugaiwa 😃Ina maana hiyo hela inaimbiliziwa kwanza ndo inatolewa kwa walengwa?
Achana na propaganda uchwara dogo. Wewe ni nani kuwalecture wajumbe? After all unachoongea ni hisia zako ovu tu, huna hata chembe ya ushahidi.Baadhi ya wajumbe hao walishaanza kupata mgao tangu hatua za mwanzoni kabisa. Mbaya zaidi huo mgao hautoki kwa FAM tu, bali hata mfumo wanafadhili karibu kila kitu ili kuhakikisha Lissu hachaguliwi kabisa.
Wajumbe wakifanya kosa wakalewa na vijisenti wakamchagua FAM, mimi naamini CHADEMA itakuwa ndo mwisho wake wa kuwa chama kikuu cha upinzani.
FAM hawezi kuongoza mapambano ya kweli ya kushinikiza upatikanaji wa Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi.
Mwenyekiti kama MwenyekitiBaadhi ya wajumbe hao walishaanza kupata mgao tangu hatua za mwanzoni kabisa. Mbaya zaidi huo mgao hautoki kwa FAM tu, bali hata mfumo wanafadhili karibu kila kitu ili kuhakikisha Lissu hachaguliwi kabisa.
Wajumbe wakifanya kosa wakalewa na vijisenti wakamchagua FAM, mimi naamini CHADEMA itakuwa ndo mwisho wake wa kuwa chama kikuu cha upinzani.
FAM hawezi kuongoza mapambano ya kweli ya kushinikiza upatikanaji wa Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi.
Mbona CCM hajafa na imetoa rushwa miaka 63
Wajumbe najua wengi mpo humu na mnasoma haya na mnaziona harakati na vikao vya siri na vya wazi mnavyo endelea navyo huko mafichoni, sasa kama mtajichanganya shauri yenu na heshima ya chama chenu mliyo ijenga miaka yote itapotea kabisa ndiyo mtakuwa mnakiua kama vilivyo kufa vyama vingine.
Mkumbuke kuna watu wameuawa kwa ajili ya kutetea misimamo na imani ya hicho chama chenu, kuna waliolemazwa pia kwa ajili ya kusimamia misimamo ya hicho chama dhid ya udhalim wa serikali sasa kukubali rushwa na pesa za hongo ni kukinajisi sana chama hicho na hasa kwa namna kilivyo jijenga na kilivyo aminiwa huko duniani.
Mkuu, nachukua na halafu nampigia mtu sahihi kwa maanufaa ya Chama.Wewe ukiletewa Mlungula utakataa?