Wajumbe CHADEMA mkipokea Rushwa mjue ndio itakuwa kifo cha chama chenu

Achana na propaganda uchwara dogo. Wewe ni nani kuwalecture wajumbe? After all unachoongea ni hisia zako ovu tu, huna hata chembe ya ushahidi.
 
Mwenyekiti kama Mwenyekiti
 
Rushwa ni marufuku,ila wajumbe watapata hudumu zifuatazo:
1. Nauli ya basi kwenda na kurudi
2. Malazi kwa diku mbili,kulipiwa
3. Allowance ya wajumbe kwa siku mbili
4. Chakula na vinywaji baridi
5. Ulinzi wa kutosha wakati wa kupiga kura na wakati wa kutangaza matokeo
6. Sare ni Bure,watapewa
7. Katiba ya chama,miongozo na kanuni za uchaguzi watapewa Bure.
8. Vocha za simu na mabando kwa wajumbe wote.
9. Simu za smart phone,kwa ajili ya kusajilia wanachama kata,wilaya ,mkoa na Kanda.
 
Mbona CCM hajafa na imetoa rushwa miaka 63
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…