Engineer kapigwa chini na wajumbe,asije akaisusia Yanga,naona hii itamharibu kisaikolojia kwenye kuongoza club,huwezi ukachukua tu kadi ya chama na kuchukua fomu ugombee ubunge,wajumbe sio wajinga bhana.
Usiongee sana ndugu yangu. Huyo anawezs kwenda kupewa ubunge wa viti maalumu.Engineer kapigwa chini na wajumbe,asije akaisusia Yanga,naona hii itamharibu kisaikolojia kwenye kuongoza club,huwezi ukachukua tu kadi ya chama na kuchukua fomu ugombee ubunge,wajumbe sio wajinga bhana.
wajumbe wameona tukikupa nafasi ya kugombea ubunge na ukaupata basi kolouzdad atapata ahueni,kolo hapaswi ku relax,wajumbe wakamnyima nafasi injinia ili kolo aendelee kutesekaEngineer kapigwa chini na wajumbe,asije akaisusia Yanga,naona hii itamharibu kisaikolojia kwenye kuongoza club,huwezi ukachukua tu kadi ya chama na kuchukua fomu ugombee ubunge,wajumbe sio wajinga bhana.
Huyo hadi sasa mbunge note my wordEngineer kapigwa chini na wajumbe,asije akaisusia Yanga,naona hii itamharibu kisaikolojia kwenye kuongoza club,huwezi ukachukua tu kadi ya chama na kuchukua fomu ugombee ubunge,wajumbe sio wajinga bhana.
Hahahaha,hivi huwa ni mambumbumbu kweli? Maana Hersi hajakatwa na wajumbe bali kakatwa na kamatiFuraha za mbumbumbu
Ni kama na murtazar mangungu nae alitaka ubunge akajinufaishe na familia yakeKavuna Aibu kubwa Sana alitaka ubunge ili akajinufaishe na familia yake