Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe ajitafakari sn huu mwendo siyo mzuri kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nashangaa sana kuona mtu akishabikia CCM na akifikiri kabisa ni sawa CCM kuendelea kubaki madarakani zaidi ya miaka 60 sasa na hasa kama mtu huyo ni kijana (under 40)!Kwema Wakuu!
Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama.
Kila siku lazima atoke mwanachama wa CHADEMA aliyekuwa na wadhifa kumuunga Mkono Lisu. Jambo hilo linazidi kuwakatisha tamaa Team Mbowe.
Wajumbe nao waliokuwa Njia panda wakijiuliza inakuwaje CCM ambao tunataka waachie Dola Leo hii wamuunge Mkono Mbowe kuendelea kugombea uenyekiti.
Hii imewapa mashaka makubwa kuwa huenda chama Chao(CHADEMA) Kinaenda kuwa CCM B.
Wajumbe wengi hasa wa Kanda ya Ziwa, Kusini, Magharibi na Mashariki wameazimia kukinusuru Chama kwa kumpumzisha Mbowe ili astaafu na abaki kama mshauri wa Chama.
Kama kina ChoiceVariable chiembe Lucas Mwashambwa Tlaatlaah Leo wapo upande wa Mbowe CHADEMA wanahitaji kujitafakari Sana.
Ngoja tuone
Rushwa inawatafuna watuHuwa nashangaa sana kuona mtu akishabikia CCM na akifikiri kabisa ni sawa CCM kuendelea kubaki madarakani zaidi ya miaka 60 sasa na hasa kama mtu huyo ni kijana (under 40)!