Wajumbe hawatakubali CHADEMA iwe CCM B kwa kumchagua Mbowe. CCM wanamuunga Mkono Mbowe hadharani alafu Wajumbe nao wamchague Mbowe labda wawe Nyumbu

Huwa nashangaa sana kuona mtu akishabikia CCM na akifikiri kabisa ni sawa CCM kuendelea kubaki madarakani zaidi ya miaka 60 sasa na hasa kama mtu huyo ni kijana (under 40)!
 
Hata kama Lisu atapata 98 percent ya kura zote, lakini Mbowe atakuwa mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…