Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe.
Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa Tundu Lissu japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89