Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba ccm wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa TL japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89
TAL hakujipanga....Anapigwa za USO kesho saa nne tu asubuhi.
 
RUSHWA ni ADUI wa HAKI! Ndugu mjumbe jee unataka CHADEMA kipuuzwe na Watanzania?! Mleteni Mbowe...

GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg

Propessa Lipumba alichagua RUSHWA kutoka CCM angalieni anavyong'aa macho baada kupuuzwa.
 
Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba ccm wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa TL japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89
Kauli ni ileile kulala machame, kula ni ikungi.Ukipewa bahasha chukua, kura ni kuwanyima tu
 
Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba ccm wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa TL japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89
kitu hamjui ni kuwa Lisu hatakiwi tanzania.
hatakiwi kwa sababu ni mtukanaji wa viongozi na serikali.

CCM ndo inaongoza serikali hawawezi kusababisha awe kiongozi tena msemaji mkuu si atamtukana hadi Mungu.

alimtukana Nyerere atamuogopa Samia?

hivyo kiuhalisia lisu hawezi kushinda na sisi wananchi hatutaki mtu mtukanaji
 
Back
Top Bottom