Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam,

Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe.

Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa Tundu Lissu japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89
 
Kwani kura watapigishwa?
 
Na salamu juu

Your browser is not able to display this video.
 
Ila team Lissu mna midomo aisee…. Mitandao ingekua inapiga kura……
 
hakuna mjumbe wa mkutano mkuu anaweza kumchagua kibaraka aombaomba na mtetezi wa ufirauni kana kwamba ni haki kwa vijana
 
Pesa unakula na kura utoi kwani waliombwa hizo pesa zao,,
 
Tukishakula vyao tukapige kura zetu za siri, tumchague wa rohoni,
 
Hatutaki maneno ya kwenye kanga

Onesha ushahidi wa miamala tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…