BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Lucas anamasikitiko kama Kassim...Mi nataka bajaji ya mama, naona pikipiki Lucas Mwashambwa alininyima na najua anazo tatu
TAL hakujipanga....Anapigwa za USO kesho saa nne tu asubuhi.Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba ccm wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa TL japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89
Usilitaje bure jina la Mungu wako; kenge wewe!KWA JINA LA YESU MBOWE HASHINDI UCHAGUZI KAMA NI RUSHWA
Tupo bega kwa bega...Msifanya madudu.
BLAZA Evelyn Salt anaufuatilia kwa makini huu uchaguzi akishirikiana na vyombo vya magharibi.
Mkifanya uhuni atawapeleka THE HAGUE.
Cc: Mbaga Jr Kalpana Lamomy realMamy Labella Poor Brain Monetary doctor secretarybird chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Duh aiseee
Nawaagiza mlifanyie kazi.Tupo bega kwa bega...
Tupo kwenye utekelezaji Kamanda CHOGO...Nawaagiza mlifanyie kazi.
KWA JINA LA YESU MBOWE HASHINDI UCHAGUZI KAMA NI RUSHWA
Mbona hajataja jina la Mungu?Usilitaje bure jina la Mungu wako; kenge wewe!
Kauli ni ileile kulala machame, kula ni ikungi.Ukipewa bahasha chukua, kura ni kuwanyima tuWasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba ccm wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa TL japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89
Sio mitandaoni tuu, kwenye ground wanachama wengi wa kawaida (wapigakura) wanamtaka lissu, huo ni ukweli mchungu!Ila team Lissu mna midomo aisee…. Mitandao ingekua inapiga kura……
Sanduku litaamua, lakini kama kwa rushwa ni 50 kwa 50 mkuuTAL hakujipanga....Anapigwa za USO kesho saa nne tu asubuhi.
Kura ni Siri, Wakitaka wapate Pressure isiyo ya kawaida waendelee kutumia hiyo miamalaHela wapokee kura kwa TL!
kitu hamjui ni kuwa Lisu hatakiwi tanzania.Wasalaam,
Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba ccm wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua kuchagua matumbo yao na kumtosa TL japo roho zinawauma na wamebaki njia panda hawaelewi kipi ni bora kwao. Hvyo mpaka hapa tulipo mbowe ameshashinda asilimia 50 kesho ni kumalizia tu ifike 89
Mbowe atashinda kwa kishindo KWA JINA LA YESU,KWA JINA LA YESU MBOWE HASHINDI UCHAGUZI KAMA NI RUSHWA