Wajumbe mliokuwa Dodoma kwenye uchaguzi wa TFF mlikuwa mnamuwakilisha nani?

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Naomba nichukue fursa hii, kumpongeza ndugu Wales Karia kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi wetu.

Nina ka swali ka kizushi tu, hivi hizi sauti zenye mwangwi za wadau wa mpira, ndugu wajumbe hamkuziskia au mlienda kujiwakilisha?

Sasa hamuoni kama tunatafsiri tofauti kuwa zile tuhuma za TAKUKURU huenda mmeziona ni za kiuonezi hivyo mmelipiza.

Asanteni au ndo kuthibitisha maneno ya Waziri kuwa kulikuwa na harufu ya rushwa kwenye uchaguzi wa mikoa?

Nihitimishe kwa kusema nina imani na Karia, labda abadilike.
Nawakilisha!
 
Wewe ni sawa na wabunge wa ccm... Wanaosema Naipongeza sana bajeti hii ni nzuri sana...anaanza sasa watu wangu hawana maji, barabara hazipitiki kabisa,walim mashuleni hakuna, Hii ni serikali gani ambayo inaacha watu wa jimbo langu wanaumia kiasi hiki.... Anamaliza Kwa kusema.Naunga mkono bajeti hii kwa 100%.. Ndo ww mleta maada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanadai kura zimepigwa kwa hasira kisa Malinzi ss either hao waliopga kura hawajielewi au tiefuefu kma shirikisho halipo serious kma mnavyolichukulia au A na B yote sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndivyo namna wakubwa wanavyoambiwa,ha ha ha ila mambo ya CCM nadhani haya husiki.
 
wanadai kura zimepigwa kwa hasira kisa Malinzi ss either hao waliopga kura hawajielewi au tiefuefu kma shirikisho halipo serious kma mnavyolichukulia au A na B yote sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Imenishangaza kweli ,hivi nani alikuwa hajui mahitaji ya watu. Au walihofia nauli za kuwarejesha nyumbani
 
wajumbe wapuuzi sana eeeeeh ni wapuuzi mambo gani mtu amekuwa makamu hakuna kipya kafanya leo unampa uraisi ili auzike mpira wa tz

hawa viongozi wameua ndoto yangu kuchezea hata mtibwa leo wanarudisha wajumbe aaaaaaaaaggggggghhhh
 
wajumbe wapuuzi sana eeeeeh ni wapuuzi mambo gani mtu amekuwa makamu hakuna kipya kafanya leo unampa uraisi ili auzike mpira wa tz

hawa viongozi wameua ndoto yangu kuchezea hata mtibwa leo wanarudisha wajumbe aaaaaaaaaggggggghhhh
Bora hata huyu Karia maana zlkuwa haziivi na malinzi, Mimi huyo Michael Wambura ndo hata skujua kuwa anaweza kuchaguliwa
 
Jamani mwenye katiba ampatia mdau huyo
 
Nimefurahi sana Wamatopeni kukamata TFF, Hongera wajumbe kwa kutusaidia, mabingwa wa kihistoria kukata mzizi wa fitina. Wanakera sana hawa Malalamiko FC.
 
Mkuu, ukkipata na mimi naiomba kutoka kwako. Nimeitafuta hiyo katiba kwa zaidi ya miezi 7 sasa bila mafanikio. Nimefika hadi ofisi za TFF na kwa wadau wengine, hola!

Kaka ...
Kwani walikunyima
 
Nchi systems ndio zinatuua kuanzia sekta binafsi, serikalini mpaka TFF kama haupo ktk system hata uwe unajua vipi hupewi nafasi na ndicho kilichomkuta Ali mayay tembelea sio kwamba hajui tatizo hayupo ktk system, ila mwenzake karia systems imembeba na yy ana kazi ya kurudisha fadhila kwa walio mbeba, sasa usishangae Ruta akapewa tena mshauri wa maswala ya ufundi wa Rais, wakati hajawahi kucheza mpira hata wa mtaani wala kuhudhuria kozi yoyote (namjua nje ndani Ruta) huku wakiwaacha akina kibadeni wanaojua maswala ya ufundi. Subirini muone hizo kamati zitakazoundwa, hazitozingatia uweledi bali ni za kulipana fadhila. Mpira wa Tanzania ujanja mwingi, jpili ndugu zangu simba wamepelekwa pelekwa na wakaambiwa hamna kuuliza maswala ya mapato na matumizi, huku ajenda kumi na nne zikijadiliwa ndani ya masaa manne si upuuzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…