Naomba nichukue fursa hii, kumpongeza ndugu Wales Karia kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi wetu.
Nina ka swali ka kizushi tu, hivi hizi sauti zenye mwangwi za wadau wa mpira, ndugu wajumbe hamkuziskia au mlienda kujiwakilisha?
Sasa hamuoni kama tunatafsiri tofauti kuwa zile tuhuma za TAKUKURU huenda mmeziona ni za kiuonezi hivyo mmelipiza.
Asanteni au ndo kuthibitisha maneno ya Waziri kuwa kulikuwa na harufu ya rushwa kwenye uchaguzi wa mikoa?
Nihitimishe kwa kusema nina imani na Karia, labda abadilike.
Nawakilisha!