Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Napenda niwaoenyezee tu...
Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961.
Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995.
Mikakati ya kumchomoa Mbowe sio ya kitoto huko Clubhouse na whatsap groups,
Bahati nzuri sana ni kwamba kote nipo nakula madini ya wana mikakati wa Kitaifa na Kimataifa..
Sidhani kama tutawahi kuona siasa ya namna hii pengin kwenye Ujana wetu pengine labda miaka 20 baadae.
Kuna Chamber moja ya CH wamehudhuria memba zaidi ya mianne na fund raising target ni 500k kwa kila diaspora..
Hesabu za haraka haraka si chini ya Mil 600 kukusanywa ..
Wengi wanasema wajumbe inabid watafutwe mmoja mmoja, apewe maelekezo na aseme mahitaji yake aweze kupiga kura ya Ndio kwa Masiah mpya wa CDM..
Mikakati ni mingi, mingine ipo wazi mingine ya siri sirini
Huko CH kuna chamber zinakesha kujadili mustakabali na namna pekee ya kumsimika masihi mpya
Kwa upande wa aliepo naambiwa fedha zipo za kutosha, wajumbe wsnaweza kutoweka kwa muda pengine wa wiki moja wakaibuka kwenye mkutano.
Mambo ni mengi, ila hawa watu 1200 wawe makini, mpango wa kuwafanya mabilionea unachemka na umefika pazuri sana .
Leo saa nne tuna mkutano na Mesiah mpya, mambo imechemka.
Demokrasia hii ya CDM kipindi hiki sio danganya toto..
Hawa waliosusa, kuzira na kuacha kula watastaajabu sana muda si mrefu ...
Siasa ya CDM itachukua Muelekeo mpya kuelekea Jan End 2025.
Pengine ikawa standard ya siasa zetu za vyama huko mbeleni.
Hoja yangu ni kwamba, Wajumbe wa mkutano mkuu CDM kwa sasa ni lulu, watu wapo busy kwenye inbox zao...