Wajumbe mtakaochagua Mbowe mtafanya kazi na nani ikiwa kila mwanachama anamtaka Lissu?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

View: https://youtu.be/nLcsl_rWxOo?si=p2kxWopIgVxceR8x

Wajumbe wenye sifa za kupiga kura kumbukeni mnawakilisha wanachama wa maeneo mnapotoka. Chagueni kulingana na matakwa ya wanachama badala ya kuangalia njaa zako.

Wanachama kutoka kila kanda wameshatoa matamko ya kumtaka Tundu Lissu, sasa ole wenu mumchague Mbowe sijui mtafanya kazi na nani?
 
Lengo la kuendelea kuwa na Mbowe pale Chadema si kwa maslahi mapana ya Chadema na wanachama wa kawaida ila ni kwa maslahi ya Mbowe na ccm
 
Lissu atauchangamsha upinzani maana hana suluhu rahisi na watawala. Ila kwenye kuongoza taasisi kuwa imara sijajua itakuwaje na labda tujue TLS aliifanyia nini kupata uhakika wa uwezo wake kiungozi.

Mbowe ni sweetheart wa watawala kwa sababu ana misimamo lakini ni mwepesi kuingia suluhu. Kwa jinsi upinzani ulivyopoa sidhani kama ni mtu sahihi wa kuufufua

Hata hivyo wacha niwaache wafu mzikane
 
Kwenye tls Lissu hakufanya kitu kwa sababu alikaa miezi kama 3 ama 4 akapigwa risasi 38.
 
View: https://youtu.be/nLcsl_rWxOo?si=p2kxWopIgVxceR8x

Wajumbe wenye sifa za kupiga kura kumbukeni mnawakilisha wanachama wa maeneo mnapotoka. Chagueni kulingana na matakwa ya wanachama badala ya kuangalia njaa zako.

Wanachama kutoka kila kanda wameshatoa matamko ya kumtaka Tundu Lissu, sasa ole wenu mumchague Mbowe sijui mtafanya kazi na nani?

Mzungumzaji wa mwisho mpeni maua kutoka kwangu, hizi ndizo akili na nguvu mpya tunazozihitaji.
Amejenga hoja za msingi sana.
 
Back
Top Bottom