Pre GE2025 Wajumbe: Tumepewa hela ili tumchague Mbowe, sisi tunamtaka Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duh,wewe si mpigakura tumekugundua.
 
Sasa Mbowe anaamkia wajumbe "shkamoni wajumbe "!!

Amenikumbusha mgombea mmoja Mzee wa CCM alikuwa akiamkia Hadi watoto wa shule za msingi kisa kura!!
 
Akili zao kama mgombea wao
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi alivyo dikteta akifanikisha magumashi yake ya kuwa mwenyekiti inabidi jamaa ajivue uanachama
 
Huyu ji team Lissu katumwa.

Hawa watu wanaexaggerate mpaka inatia wasiwasi kama wanaongea ta kweli.Takukuru inabidi wawakamate hao watu watoe ushahidi.

Wakati wao wanalalama Lissu anaonekana kama vile ameridhika na process nzima. Anyway, all in all, mabadiriko Chadema ni muhimu. Yataondoa ile zana ya business as usual waliyoizoea CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…